MECHI 900 KUTIMUA VUMBI NDANI YA SUPERSPORT
Meneja Uhusiano wa DSTV Barbara kambogi akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya moto wa la Liga utawashwa ndani ya Super Sport 3(SS3)katika hafla iliyofanyika katika Hoteli ya New Afrika leo jijini Dar es Salaam.Kulia Meneja Uhusiano wa DSTV Barbara kambogi na Afisa masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samaly.
Meneja uendeshaji wa DST,Ronald Shelukindo akizungumza na waandishi wa habari juu chanmeli mpya ya michezo katika kingamuzi cha Multchoice,katika hafla iliyofanyika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog31 Jul
Msimu mpya wa Kandanda ndani ya DStv kutimua vumbi wiki ijayo
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa msimu mpya wa kandanda kwa wateja wa DStv jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu na kulia ni Meneja Mwendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Baraka Shelukindo.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Meneja Uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Baraka Shelukindo, akijibu maswali ya...
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
AFCON kutimua vumbi Jan.17
10 years ago
BBCSwahili14 Jul
Michuano ya Kagame kuanza kutimua vumbi
10 years ago
Michuzi08 Sep
VPL KUANZA KUTIMUA VUMBI JUMAMOSI

Ndanda FC ya Mtwara watakua wenyeji wa Mgambo Shooting katika uwanja wa Nagwanda Sijaona mjini Mtwara, Wana kimanumanu African Sports watawakaribisha Simba SC katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, huku Wana Lizombe Majimaji wakiwa wenyeji wa maafande wa JKT Ruvu katika uwanja wa Majimaji mjini Songea.
Azam FC...
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
EPL kuendea kutimua vumbi leo
11 years ago
Michuzi
Mashindano ya FEASSSA yaanza kutimua vumbi


11 years ago
Tanzania Daima03 Oct
Fainali za Dance100% kutimua vumbi kesho
FAINALI za shindano la kucheza muziki maarufu kama Dance 100% linalofanyika chini ya uratibu wa Kituo cha East Africa Television ltd na kudhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania,...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Fainali za Dance100% kutimua vumbi Jumamosi
.jpg)
.jpg)
10 years ago
BBCSwahili14 May
Diamond league kutimua vumbi Doha