Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Meck Khalfan: Mtanzania aliyebuni charger za Puku zinazonunuliwa kama njugu duniani kote!!

Meck Khalfan Mbwana ni Mtanzania aliyezaliwa na kukulia Tanzania lakini kwenda Marekani kuendelea na masomo huko. Kutokana na kimbunga cha Sandy mwaka 2012 kilichoathiri wakazi wengi wa jijini New York akiwemo yeye mwenyewe aliamua kubuni kitu ambacho kingekuja kubadilisha maisha ya wengi katika teknolojia. Mbwana anasema wakati kimbunga hicho kinatokea, alikuwa na mtoto wa miezi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MASTAA WA HIP HOP MAREKANI WANAVYOACHANA, KAMA NJUGU MAWE

Future na Ciara. AMMY NANDO NA MITANDAO VITENDO cha wanamuziki maarafu duniani kuchumbiana, kuzalishana na kisha kuachana katika muda mfupi vimezidi kuchukua kasi. Tyga na Black Chyna. Habari kutoka mtandao wa TMZ zinaelezea jinsi mapenzi ya rapa maarufu duniani, Future na Tyga walivyotengana na ‘ma baby’ zao muda mfupi tu baada ya kujipatia… ...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri wa Viwanda na Biashara ampongeza mjasiriamali mtanzania aliyebuni kifaa maalumu cha kunawia mikono ili kujikinga na virusi vya Corona

Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 30 Machi, 2020 amepokea kifaa maalumu cha kunawia mikono kilichotengenezwa na mjasiriamali wa kitanzania ndugu. Jonas Urio (Ambaye anatokea katika mkoa wa Manyara).
 Akizungumza leo Waziri Bashungwa amempongeza Jonas Urio kwa ubunifu wake huo wa kutengeza kifaa kizuri na bora cha kunawia mikono ambacho kinaweza kutumiwa na taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kuhudumia watu mbalimbali kusafisha mikono yao ili kuendeleza...

 

11 years ago

Habarileo

‘Wanawake duniani kote hawapendi vita’

MKE wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda amesema wanawake wote duniani hawapendi vita wala machafuko na hulilia amani kwani machafuko husababisha kutoweka kwa amani kuanzia ngazi ya familia na kuleta vifo vya watu wasio na hatia.

 

10 years ago

Bongo5

Kanye asimamisha taxi kupiga picha na paparazzi aliyevaa t-shirt iliyomvutia, t-shirt zanunuliwa kama njugu

Kanye West hana urafiki na paparazzi.. lakini paparazzi mmoja amemvutia rapper huyo. Kanye West akiwa na paparazzi ambaye rapper huyo aliyependa t-shirt yake Akiwa kwenye mitaa ya jiji la New York, Alhamis wiki hii ndani ya taxi, Yeezy aliamua kusimama na kushuka kumpiga picha paparazzi aliyekuwa akimpiga picha kwakuwa alipenda tu t-shirt aliyokuwa amevaa. Kanye: […]

 

11 years ago

Michuzi

salamu za pasaka toka globu ya jamii kwa wadau duniani kote

Uongozi wa Michuzi Media Group na watendaji wote unawatakia wadau wa Globu ya Jamii kila pembe ya dunia PASAKA njema. Furaha yenu ndio furaha yetu, na BWANA awabariki afya njema.

 

10 years ago

Michuzi

Sajili Domain ya biashara yako kwa Dot TZ (.tz) na uweze kuonekana duniani kote

Domain ni Nini? Ikiwa kuna mtu anataka kutembelea tovuti/website yako (kama wewe ulivyotembelea website hii) atahitaji kutumia domain yako au kwa kuiandika moja kwa moja au kupitia link kutoka kwenye search engine ili kuweza kuiona. Kompyuta huwasiliana kwa kutumia namba zinazoitwa anwani ya IP (IP Address). Hii  ni sawa na unavyo tumia namba ya simu fulani kuwasiliana na fulani. Jina la domain katika mtandao ni kama jina linaloendana na namba husika za simu katika simu yako.
Badala ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Watu 'bilioni moja' huenda wakaambukizwa kote duniani - yasema IRC

Watu bilioni moja huenda wakaambukizwa virusi vya corona kote duniani na mambo pengine yabadilike, nchi zisizojiweza zinahitaji usaidizi wa haraka Shirika la kutoa msaada limeonya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani