Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Membe: Pinda ananinyima usingizi

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, ambaye pia anaomba CCM impitishe kuwa mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu, Bernard Membe amekiri kwamba katika kinyang’anyiro cha urais ndani CCM, mtu anayemnyima usingizi ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Membe, Pinda waonyeshana jeuri ya fedha Z’bar

>Hatimaye makada wa CCM wanaotajwa kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano, juzi walipata nafasi ya kutunishiana misuli baada ya kualikwa kuchangia mfuko wa maendeleo wa mkoa mpya wa CCM wa Magharibi visiwani hapa.

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa: Msikose usingizi

Pg 1Lowassa: Msikose usingizi

*Amwaga ahadi, asema hakuna kura itakayoibwa

*Mnyika amfananisha Dk. Slaa na Samsoni, Delila

 

NORA DAMIAN NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, ameisimamisha tena Dar es Salaam kwa saa kadhaa huku akiwataka Watanzania kutokosa usingizi kwani hakuna kura itakayoibwa.

Lowassa alisema hayo jana jijini Dar es Salaam kwa nyakati tofauti...

 

11 years ago

GPL

CHEZEA USINGIZI WEWE!

Jamaa huyu amekutana uso kwa uso na kamera yetu, akiwa katika usingizi mzito mida ya mchana pande za Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar na kuzua minong’ono kwa wapita njia ambao hawakufahamu sababu za kuuchapa usingizi eneo hilo. (Picha na Mayasa Mariwata / GPL)

 

11 years ago

Habarileo

JK: Bunge la Katiba halininyimi usingizi

RAIS Jakaya Kikwete amesema hana wasiwasi na hali ya mjadala mkali, uliotawala Bunge Maalumu la Katiba, kwa sababu ni muhimu kwa mjadala kuhusu Katiba mpya, ukawa wa kina ili kuweza kupata Katiba bora kwa Watanzania.

 

9 years ago

Mwananchi

Vitu vinavyokosesha watu usingizi

Ingawa kitaalamu inafahamika kuwa binadamu anahitaji kulala usingizi kwa muda usiopungua saa nane ili awe na afya njema, kutokana na sababu mbalimbali watu wengi wanasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi.

 

11 years ago

Mwananchi

Al Ahly yamnyima usingizi Hans

Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amesema haifikirii Komorozine ya Comoro kwani ni timu dhaifu na anachowaza sasa ni jinsi atakavyowakabili mabingwa watetezi Afrika, Al Ahly ya Misri.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Tarsis Masela — Usingizi

Video mpya ya msanii Tarsis Masela wimbo unaitwa “Usingizi” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

GPL

MTOTO AMKATISHA USINGIZI FAIZA

Imelda mtema FAIZA Ally ambaye ni mzazi mwenziye na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amefunguka kuwa mwanaye Sasha ndiyo kila kitu kiasi cha kumkatisha usingizi wake kila siku. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, alisema kutokana na mapenzi yake kwa mwanaye, kila siku anajikuta akiamka usiku mnene na kumuangalia mwanaye kwa muda mrefu kisha kumbusu na kulala tena. “Huwa naamka usiku wa manane na...

 

11 years ago

Habarileo

Mwakyembe- Mafuriko yananinyima usingizi

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, amesema hapati usingizi kufuatia kutokea mafuriko ya yanayoharibu njia ya reli, hasa eneo la Godegode wilayani Mpwapwa Mkoa wa Dodoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani