Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Msikose usingizi

Pg 1Lowassa: Msikose usingizi

*Amwaga ahadi, asema hakuna kura itakayoibwa

*Mnyika amfananisha Dk. Slaa na Samsoni, Delila

 

NORA DAMIAN NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, ameisimamisha tena Dar es Salaam kwa saa kadhaa huku akiwataka Watanzania kutokosa usingizi kwani hakuna kura itakayoibwa.

Lowassa alisema hayo jana jijini Dar es Salaam kwa nyakati tofauti...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

CHEZEA USINGIZI WEWE!

Jamaa huyu amekutana uso kwa uso na kamera yetu, akiwa katika usingizi mzito mida ya mchana pande za Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar na kuzua minong’ono kwa wapita njia ambao hawakufahamu sababu za kuuchapa usingizi eneo hilo. (Picha na Mayasa Mariwata / GPL)

 

11 years ago

Habarileo

JK: Bunge la Katiba halininyimi usingizi

RAIS Jakaya Kikwete amesema hana wasiwasi na hali ya mjadala mkali, uliotawala Bunge Maalumu la Katiba, kwa sababu ni muhimu kwa mjadala kuhusu Katiba mpya, ukawa wa kina ili kuweza kupata Katiba bora kwa Watanzania.

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga yamnyima usingizi Kerr

kerr kazini simba 34JUDITH PETER NA ABDUCADO EMMANUEL DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, amesema bado ana wakati mgumu wa kupanga kikosi cha kwanza kutokana na ubora na viwango vya wachezaji wake.

Kerr amekiri kuwa pambano la Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya watani wake Yanga litakalofanyika Uwanja wa Taifa,
Dar es Salaam Jumamosi hii litakuwa na upinzani tofauti na mechi ambazo tayari wamecheza.

Kuelekea mchezo huo wa aina yake, Simba itaingia uwanjani ikiwa imeshinda mechi zake tatu za...

 

9 years ago

Mtanzania

UJAUZITO WAMNYIMA KIM USINGIZI

body_3_5NEW YORK, MAREKANI

MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Kim Kardashian, amesema kwa hatua aliyofikia anapata maumivu
ya tumbo wakati wa kulala kiasi cha kukosa usingizi.

Mrembo huyo anatarajia kupata mtoto wa pili, baadaye Desemba, mwaka huu na mume wake Kanye West, lakini kutokana na hatua ambayo ujauzito wake umefikia, anadai inampa usumbufu mkubwa.

“Natarajia kupata mtoto wa pili hivi karibuni, lakini kwakweli kwa sasa napata maumivu ya tumbo wakati wa kulala, hii ni dalili ya kuwa siku...

 

11 years ago

Habarileo

Mwakyembe- Mafuriko yananinyima usingizi

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, amesema hapati usingizi kufuatia kutokea mafuriko ya yanayoharibu njia ya reli, hasa eneo la Godegode wilayani Mpwapwa Mkoa wa Dodoma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Ukahaba UDOM ulininyima usingizi’

KASHFA ya ukahaba iliyokuwa inakikabili Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) pamoja na maandamano na migomo, vimekuwa vikimnyima usingizi Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Idris Kikula. Profesa Kikula alibainisha hayo...

 

11 years ago

Mwananchi

Al Ahly yamnyima usingizi Hans

Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amesema haifikirii Komorozine ya Comoro kwani ni timu dhaifu na anachowaza sasa ni jinsi atakavyowakabili mabingwa watetezi Afrika, Al Ahly ya Misri.

 

10 years ago

Bongo5

Video: Tarsis Masela — Usingizi

Video mpya ya msanii Tarsis Masela wimbo unaitwa “Usingizi” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Habarileo

Membe: Pinda ananinyima usingizi

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, ambaye pia anaomba CCM impitishe kuwa mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu, Bernard Membe amekiri kwamba katika kinyang’anyiro cha urais ndani CCM, mtu anayemnyima usingizi ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani