MENINA:SIJATOA MIMBA
![](http://api.ning.com:80/files/uw8ZJ9XBTbX-UZWpCLC7vQwvuDx-xQBVkosKgE5iyMu67mD37yYXs9diIP3GG5PBJ0v-SepsPtVRerg8qVwNqRBycWIhq*1D/meninah.jpg)
Stori: Waandishi Wetu Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick ameifungukia ishu ya kuchoropoa mimba ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kusema hajawahi kubeba mimba ya staa huyo na wala katika maisha yake hajawahi kufanya kitendo hicho. Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick. “Jamani mimi ni mdogo, kwanza kwa nini watu wanapenda kunibebesha vitu vikubwa, mimi sijawahi kubeba wala kuchoropoa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM19 Dec
MENINA KUFUNGA NDOA?
Msanii wa Bongo Fleva,Menina amepongezwa na mashabiki wake baada ya kutupia picha kwenye mtandao akiwa amevaa shela la harusi huku watu wakijiuliza huenda ameolewa kwa siri au anatarajia kufunga ndoa.
Baadhi ya mshabiki walimpongeza: sophybeiby @meninahladivah heee hongera ndo hata kunitonya mdogo wangu haya mwaya kila la kheri Nakupenda sana.
ramadhanijuma58 Umependeza...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s72-c/wema%2B%284%29.jpg)
NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s640/wema%2B%284%29.jpg)
Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-TLmRyEsKEAKWBARjMR-RByB9OlMczM0cAkPSk2-GKq-BbdZdpjBXRZT*ZUhuJEwUPJPkZ8FA8GWIJEwWIsQEpRGG88iIgIk/1.jpg?width=650)
MENINA,BABA LEVO LIVE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N64H0TyPAzpvhEpQ81tig0i7gb7mI4ifpEoIpLnUqLjLynAIgXt7AEvBa1Fm1S1fRxRzBdP75HHBuppOgrbqW1q/menina.jpg?width=650)
MENINA: ETI NITOE RUSHWA YA NGONO, MH!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zR-FkEEcSb9pnhP4T1E5N2tPFmDFZv1Pkteh*UQ3R8cV9R-a5i-f9bES3asOwcEwZ7VCMrb4LEt1-xVfCIBbZ4c5a4UlH7XR/MENINA.jpg?width=650)
11 years ago
GPLMSANII MENINA LA DIVA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s72-c/meninah.jpg)
MENINA NA DIAMOND TUMEONA MOSHI TUNGOJEE MOTO
![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s640/meninah.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ddTCHyz3HmykHZSccYVb*MBNyz7f0LXLoJSjAihLZBFNf6BzSeaWsp36pE12uBpGF83MYRMCXQT43UVGjlsT3SGx*Ss8ACGg/Meninah.jpg?width=650)
MENINA AFICHA KOVU PAJANI KWA TATUU
10 years ago
GPL‘BETHIDEI’ YA MENINA FULL SHANGWE BURUDANI