Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MENINA AFICHA KOVU PAJANI KWA TATUU

Na Musa Mateja
Binti anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki, Menina Atick amelazimika kutumia mimu ya kujichora tatuu pajani ili kuziba kovu kubwa lililopo eneo hilo nyeti. Binti anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki, Menina Atick. Msanii huyo mwenye figa tata alinaswa na paparazi wetu maeneo ya Mikocheni kwenye Ukumbi wa Escape One akiwa amejichora tatuu na katika kufuatilia ikabainika kuwa, kovu kubwa lililoharibu eneo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Diamond afunguka na kuhusu ishu ya kumtema Wema na kuhamia kwa Menina, hiki ndo alichokisema...


Diamond afunguka na kuhusu ishu ya kumtema Wema na kuhamia kwa Menina, hiki ndo alichokisema...
Hatimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusutetesi zinazoendelea kuwa ameachana na WemaSepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoana Meninah Diamond alisema kuwa tetesi hizo zimekuwa zikimhuzunisha kwa kiasi kikubwa. “Unajua hizi habari kiukweli zimekuwazikinihuzunisha sana,” amesema msanii huyo.“Unajua mie ni mtu mmoja ambaye sipendikuzunguzia mambo ya rumors, siju magazeti huwasipendi kuzungumzia...

 

9 years ago

Bongo Movies

Tatuu Zamuumbua Esha Buheti

BAADA ya hivi karibuni wasanii wa filamu waliokuwa wapenzi, Wastara Juma na Bond Suleiman kutengana, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na kumshauri staa huyo kukubaliana na matokeo.

Aunty Lulu aliyewahi kuwa mpenzi wa Bond, alimtaka mwenzake kukubaliana na matokeo kwani huenda muda ndiyo umefika na katika mapenzi, hilo ni jambo la kawaida.

“Sina la kuzungumza juu ya Bond maana sihusiani naye, mapenzi yalikuwa zamani ila kama uchumba umevunjika basi namshauri Wastara akubaliane tu na...

 

9 years ago

GPL

TATUU ZAMUUMBUA ESHA BUHETI

LICHA ya kula kiapo kuwa hatokuja kujichora tatuu ya aina yoyote mwilini mwake miezi kadhaa iliyopita, staa wa filamu Bongo, Esha Buheti hivi karibuni ameumbuka baada ya kunaswa akiwa na tatuu kibao mwilini mwake. Staa wa filamu Bongo, Esha Buheti. Tukio hilo lilitokea kwenye bethidei ya mwigizaji Wema Sepetu iliyofanyika katika Ukumbi wa Wema, Kijitonyama jijini Dar ambapo paparazi wetu baada ya kumfoitoa picha kadhaa mrembo...

 

9 years ago

GPL

TUNDA AJICHORA TATUU ZA WANAUME KIBAO

 Video queen Bongo, Tunda Sabasita. LICHA ya kudaiwa kutoka kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’, video queen Bongo, Tunda Sabasita anadaiwa kujichora tatuu za wanaume kibao mwilini mwake. Kwa mujibu wa chanzo kilichozungumza na Amani ni kuwa, ‘muuza nyago’ huyo kwenye video za Bongo Fleva haoni shida ya kujichora tatuu hizo na kwamba ndiyo furaha yake na kumbukumbu pindi anapokuwa nao. “Kwa sasa...

 

10 years ago

GPL

ESHA BUHETI AOGOPA DHAMBI YA KUJICHORA TATUU

Stori: Imelda Mtema
MSANII wa filamu za Kibongo, Esha Buheti, amesema kuwa anaweza akafanya vitu vingi vya kujiremba lakini anaogopa sana kujichora tatuu kwani ni dhambi. Msanii wa filamu za Kibongo, Esha Buheti. Akizungumza na mwandishi wa habari hii,  Esha alisema kuwa kitu ambacho anahisi inaweza kuwa ni moja ya dhambi mbaya kabisa ni kujichora tatuu mwilini kwani katika dini yoyote au dhehebu lolote halikubali mtu...

 

9 years ago

GPL

ZARI ‘AMMAIND’ ALIYEJICHORA TATUU JINA LA DIAMOND

Hamida Hassan Mahaba kweli hayazuiliki! Mrembo mmoja wa mjini ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, hivi karibuni alijikuta akikejeliwa na mpenzi wa Nasibu Abdul “Diamond’, Zarinah Hassan ‘Mama Tiffah’ baada ya mdada huyo kutupia picha mtandaoni akiwa amejichora tatuu yenye jina la Diamond kwenye matiti.  Zarinah Hassan ‘Mama Tiffah’. Baada ya mrembo huyo kuitupia picha hiyo na kujinasibu kuwa anampenda...

 

9 years ago

GPL

JACK DUSTAN: WANAOJICHORA ‘TATUU’ ZA WAPENZI WANAJICHAFUA

Stori: Imelda Mtema SOMO! Mrembo aliyejipatia umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus, Jacqueline Dustan ‘Jack’ ameweka wazi kuwa baadhi ya mastaa wanaojichora ‘tatuu’ za majina ya wapenzi wao ni kujichafua kwa sababu wanapoachana wanapata tabu kuzifuta. Mrembo aliyejipatia umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus, Jacqueline Dustan ‘Jack’. Akizungumza na gazeti hili, Jack alisema kwamba, katika maisha yake hawezi...

 

10 years ago

CloudsFM

MENINA KUFUNGA NDOA?

Msanii wa Bongo Fleva,Menina amepongezwa na mashabiki wake baada ya kutupia picha kwenye mtandao akiwa amevaa shela la harusi huku watu wakijiuliza huenda ameolewa kwa siri au anatarajia kufunga ndoa.

Menina aliandika hivi Alhamdulilah finally soon to come Allah! Ibarik inshaallah gheir nakupenda saana #habib wangu......
Baadhi ya mshabiki walimpongeza: sophybeiby @meninahladivah heee hongera ndo hata kunitonya mdogo wangu haya mwaya kila la kheri Nakupenda sana.

ramadhanijuma58 Umependeza...

 

10 years ago

GPL

MENINA:SIJATOA MIMBA

Stori: Waandishi Wetu
Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick ameifungukia ishu ya kuchoropoa mimba ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kusema hajawahi kubeba mimba ya staa huyo na wala katika maisha yake hajawahi kufanya kitendo hicho. Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick. “Jamani mimi ni mdogo, kwanza kwa nini watu wanapenda kunibebesha vitu vikubwa, mimi sijawahi kubeba wala kuchoropoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani