Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Merceds Benz ML 350 inauzwa

 Merceds Benz ML 350 ya mwaka 2003 inauzwa.Rangi ni Silver, engine capacity ni 3720 cc, petrol, iko kwenye hali nzuri kabisa. Bei milioni 22 Tshs tuKwa mawasiliano zaidi  tafadhali tumia namba za simu :0767 484351 au 0779484351 Ubavuni Kwa mbele Ndani

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAKUU WA MERCEDES BENZ KUTOKA UJERUMANI NA WAWAKILISHI WA MERCEDES BENZ AFRIKA WATEMBELEA TANZANIA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne Mcintosh, akizungumza na Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika katika mpango mkakati wa kubadilishana nao mawazo na uzoefu katika shughuli za biashara na masoko katika ukanda wa Afrika. Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika pia walipata fursa ya kuangali akarakana ya kampuni hiyo kwenye...

 

11 years ago

Employment

350 former civil servants apply for re


Daily News
350 former civil servants apply for re-employment
Daily News
OVER 350 civil servants who resigned are now seeking re-employment in various public offices, the Minister of State in the President's Office (Public Service Management), Ms Celina Kombani, has said. Ms Kombani said this in a speech read on her behalf by ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yakomba 350 kwa Nyalandu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimefanya mkutano mkubwa na kujipatia wanachama wengi mahali panapodaiwa kuwa ngome ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Singida Kaskazini, jimbo linaloongozwa na Waziri wa Utalii...

 

11 years ago

TheCitizen

Some 350 scientists in Dar for major conference

The Vice President, Dr Ghalib Bilal, is scheduled to open a three-day conference of scientists in the city here aimed at discussing new public health challenges facing Africa, just a year before the expiration of the Millennium Development Goals (MDGs).

 

10 years ago

Habarileo

Shule za Biharamulo zapewa madawati 350

SHULE tano za msingi katika kata ya Kaniha wilayani Biharamulo mkoani Kagera, zimenufaika na msaada wa madawati 350 yenye thamani ya Sh milioni 17.5, yaliyotolewa na kampuni ya Stamigold inayoendesha mgodi wa Biharamulo.

 

10 years ago

GPL

IDADI YA WALIOKUFA KWA EBOLA YAFIKIA 1,350

Mgonjwa wa Ebola akipelekwa eneo maalum kwa matibabu nchini Sierra Leone. Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa Ebola huko Afrika Magharibi mpaka sasa imefikia 1,350 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Shirika la Afya Duniani (WHO) huku watu 106 wakiripotiwa kufariki kati ya Agosti 17-18 mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Korongo la mto Kikombo latishia usalama kaya 350

KAYA zaidi ya 350 na majengo ya taasisi mbalimbali katika Wilaya ya Mpwapwa mkoani hapa viko hatarini kusombwa na maji kutoka kwenye korongo la Mto Kikombo ambalo limebadilisha mwelekeo wake.

 

5 years ago

Prensa Latina

With 30 new cases Cuba accumulates 350 Covid-19 confirmed positive

With 30 new cases Cuba accumulates 350 Covid-19 confirmed positive  Prensa Latina

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani