Messi aanza kumfunika Ronaldo kimahesabu, achukua tuzo 2
Michel Platini akimkabidhi tuzo Lionel Messi, huku Cristiano Ronaldo akishuhudia tukio hilo.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Ile kauli ya dalili ya mvua ni mawingu ndiyo inayoonekana na kwa staa wa Barcelona, Lionel Messi (pichani kushoto), ikiwa ni siku moja tangu Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kutaja majina matatu ya wachezaji watakaowania tuzo hiyo, nyota ya Messi imeanza kung’aa baada ya kutwaa tuzo mbili (2) katika utoaji wa tuzo za Ligi ya Hispania La Liga.
Katika sherehe hizo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Lionel Messi amgaragaza Ronaldo tuzo za Globe
EMIRATES, DUBAI
NYOTA wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi, amemgaragaza mpinzani wake, Cristiano Ronaldo wa Real Madrid katika tuzo za Globe Soccer, ambapo Messi amefanikiwa kuchukua mchezaji bora wa mwaka.
Tuzo hizo ambazo zimetolewa juzi mjini Dubai, Messi aliibuka kinara wa tuzo hizo huku Ronaldo akishika nafasi ya pili.
Wakati huo huo, klabu ya Barcelona ilifanikiwa kuchukua klabu bora ya mwaka kutokana na kukusanya mataji mengi msimu uliopita, huku Josep Bartomeu akichukua rais bora wa...
10 years ago
Bongo529 Aug
Cristiano Ronaldo achukua tuzo ya mwanasoka bora wa Ulaya
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Tuzo Fifa:Ronaldo,Messi,Neuer nani bora?
9 years ago
Bongo528 Aug
Messi awashinda Ronaldo na Suarez tuzo ya mwanasoka bora Ulaya
9 years ago
Bongo501 Dec
Lionel Messi amgalagaza Cristiano Ronaldo kwenye tuzo za La Liga
![Ronaldo-Messi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Ronaldo-Messi-300x194.jpg)
Lionel Messi ametajwa kama mchezaji bora na kumpiku Cristiano Ronaldo kwenye tuzo za kila mwaka za La Liga zilizotolewa jijini Barcelona, Jumatatu hii.
Tuzo hizo zilizotolewa siku moja ambayo wawili hao pia walitajwa kwenye majina yaliyochujwa kwenye tuzo ya Ballon d’Or ilikuwa moja kati ya mbili zilizochukuliwa na staa huyo wa Argentina.
Naye kocha wa Barcelona, Luis Enrique alitajwa kama kocha wa mwaka.
Messi pia alishinda mshambuliaji bora huku Neymar akishinda mchezaji bora wa...
10 years ago
VijimamboRonaldo v Messi at Old Trafford
10 years ago
Mtanzania14 Jan
Ronaldo apania kumfikia Messi
ZURICH, USWISI
NYOTA waReal Madrid, Cristiano Ronaldo, usiku wa kuamkia jana alifanikiwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia ‘Ballon d’Or’ kwa mara ya pili mfululizo, huku mwaka huu akipanga kuchukua tena na kumzidi nyota wa Barcelona, Lionel Messi aliyeitwaa mara nne.
Nahodha huyo wa timu ya Taifa ya Ureno aliwapiku wapinzani wake, Messi na kipa wa Bayern Munich, Manuel Neuer, waliokuwa wakishindanishwa kuwania tuzo hiyo.
Nyota hao watatu pia walifanikiwa kuorodheshwa kwenye kikosi bora...
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Si Messi wala Ronaldo ni Atletico
10 years ago
Mtanzania25 Aug
Kikwete kuwaleta Ronaldo, Messi
![Rais Jakaya Kikwete](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jakaya-Kikwete1.jpg)
Rais Jakaya Kikwete
Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam
BAADA ya ujio wa magwiji wa zamani wa timu ya Real Madrid kufanyika kwa mafanikio makubwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, ameeleza kuwa anafanya uwezekano wa kuileta timu halisi ya Real Madrid yenye nyota, Cristiano Ronaldo au Barcelona yenye staa, Lionel Messi.
Magwiji hao walicheza mechi ya kirafiki dhidi ya magwiji wa zamani wa Tanzania ‘TSN Tanzania Eleven’, iliyoisha kwa Real Madrid kushinda kwa mabao 3-1,...