mfalme siboka kutambulisha wimbo wake mpya mwanza na mbeya mwezi mei
![](http://1.bp.blogspot.com/-lyh5o0BZWDw/UvulBmM-4EI/AAAAAAAFMns/7I_4YOOpLEc/s72-c/unnamed.jpg)
Mfalme wa nyimbo za asili nchini Tanzania anatarajia kutambulisha wimbo mpya wa Engele yange ulioimbwa katika mahadhi ya makabila manne ya kanda ya ziwa mapema mwezi wa Mei 2014. Mfalme Siboka atambatana na kundi lake akianzia jijini Mwanza na kumalizia ziara Mbeya na Iringa.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Mfalme Siboka kuzindua Engere Yange Mei 24
MSANII wa nyimbo za asili, Costa Siboka ‘Mfalme Siboka’, anatarajiwa kuzindua wimbo wake unaojulikana kwa jina la ‘Engere Yange’ katika ukumbi wa PJ Palace uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam,...
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Mfalme Siboka awakuna mashabiki Mbeya
MSANII wa nyimbo za asili nchini, Costa Siboka ‘Mfalme Siboka’ mwishoni mwa wiki aliwapagawisha wakazi wa Jiji la Mbeya na vitongoji vyake baada ya kuimba wimbo mmoja wa Kinyakyusa, moja...
5 years ago
Bongo514 Feb
Darassa alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu lakini… – Hanscana
Mtayarishaji wa video za muziki nchini ambaye kwa sasa anafanya kazi pamoja na rapa Darassa, Hanscana, amefunguka kuzungumzia ujio mpya wa rapa huyo ambaye bado anafanya vizuri kupitia hit single yake ‘Muziki’.
Akiongea na Bongo5 Jumanne hii, Hanscana amedai Darassa alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu, lakini ameshindwa kutokana ratiba za show za kimataifa kumbana.
“Kusema kweli alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu lakini show za Rwanda na Burundi zimembana sana, amekuwa na tour ndefu sana...
9 years ago
Bongo527 Nov
Kala Jeremiah kuachia wimbo mpya mwezi ujao, pia aeleza sababu za kumtumia director Pablo kwenye video nyingi
![Kala](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Kala-300x194.jpg)
Baada ya kipindi cha kampeni kupita Kala Jeremiah pia yuko kwenye foleni ya wasanii wanaotaka kutoa kazi mpya za kufungua mwaka.
Kala ameiambia Bongo5 kuwa tayari video ya kazi mpya imekamilika na anatarajia kuitoa hivi karibuni.
“Video ya wimbo mpya na nimeshoot na PABLO ila nisingependa kwanza kutaja jina la wimbo, lakini mwezi wa 12 lazima itoke”.
Video nne zilizopita za Kala (Nchi ya Ahadi, Usikate Tamaa, Simu Ya Mwisho, Wale Wale) zote zimeongozwa na Pablo, kuhusu kwanini ameamua...
9 years ago
Bongo510 Nov
Kanye West asahau mashairi ya wimbo wake kwenye birthday ya mama mkwe wake na kuanza kuimba wimbo wa adui yake 50 Cent
![222](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/222-300x194.jpg)
Kanye West anadaiwa alijikuta akisahau mashairi ya wimbo wake mwenyewe wakati alipoombwa kutumbuiza kwenye birthday ya mama mkwe wake, Kris Jenner aliyetimiza miaka 60 wiki iliyopita.
Rapper huyo mwenye umri wa miaka 38 alipewa mic na muimbaji Charlie Wilson, aliyekuwa akiimba wimbo wake kabla ya kuanza kuimba wimbo wa Kanye, ‘See Me Now’ – aliomshirikisha Beyonce na – lakini alikiri kuwa hakumbuki mashairi ya wimbo huo wa mwaka 2010 na haraka akaanza kuimba wimbo wa adui yake.
Chanzo...
11 years ago
Bongo512 Aug
Picha/Audio: Utengenezaji wa video mpya ‘Mr. Oreo’ ya Iyanya, Marekani na sikiliza wimbo wake mpya ‘Story story’
10 years ago
GPL01 Jan
10 years ago
Bongo512 Jan
T-Pain wa Marekani kuja Tanzania mwezi ujao, kutumbuiza na Diamond kwenye uzinduzi wa Radio mpya, Mwanza
9 years ago
Mtanzania21 Aug
Mo Music amtamani KCEE katika wimbo wake mpya
NA AGNES MHAGAMA
BAADA ya wasanii mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva kufanya vizuri kimataifa kupitia ushirikiano na wasanii wa kimataifa, msanii anayefanya vizuri katika wa muziki huo, Moshi Katemi ‘Mo Music’ naye ana matarajio ya kushirikiana na msanii kutoka Nigeria, KCEE.
Mo Music, anayetamba na wimbo wa ‘Basi Nenda’ na ‘Ntazoea’, alisema ameshafanya mawasiliano na msanii huyo na mipango ikienda kama walivyopanga watakamilisha wimbo huo ndani ya mwaka huu.
“Nimemchagua KCEE kwa sababu...