Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfanyakazi wa Hospitali ya Peramiho Songea ajinyonga

MAREHEMU 2

Mwili wa Fredrick Mgaya (60) ukiwa unaning’inia katika mti aliojinyongea , Tunaomba radhi kwa picha hii.

Na Mwandishi wetu Peramiho

 Songea Mwanaume mmoja Fredrick Mgaya (60), mkazi wa Peramiho, Songea mkoani Ruvuma amejinyonga usiku wa kuamkia leo katika maeneo yaliyo karibu na viwanja vya michezo vya Abasia kijijini Peramiho.

Mwanaume huyo aliyekuwa akifanya kazi kitengo cha maabara katika Hospitali ya Peramiho na kustaafu mnamo mwezi aprili mwaka huu amekutwa amejinyonga majira ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mzimu wa kujinyonga waendelea kutikisa Peramiho, mtu mwingine ajinyonga tena

RASHID ATHUMAN

Mwili wa Rashid Athuman ukiwa unaning’inia katika kitanzi ambacho alikifunga chooni kabla ya kujinyonga kasha kujifungia chooni.

Mwili wa Rashid Athuman ukishushwa na wasamaria wema kutoka kwenye kitanzi kwa kwa kushirikiana na Jeshi la polisi.

Mwili wa Rashid Athuman ukiwa unahifadhiwa katika chumba cha kuhifadhiwa maiti katika hospital ya Peramiho.

Hiki ni chumba  ambacho marehemu alikuwa amepanga na kinachoonekana ni kitanda ambacho alikuwa anatumia kulala yeye na mke wake .

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla kikazi ndani ya jimbo la peramiho-songea.

 Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akiangalia kwa makini taarifa ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji lililopo eneo la Luyelela kijiji cha Lugagala jimbo la Peramiho, Songea. Kulia kwa Naibu Waziri ni Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Bw. Juma Ally na kushoto kwake ni Mhandisi wa Maji Songea vijijini Bw. John a. Undiri.

 

10 years ago

Michuzi

msamaria mwema atuma wheelchair kwa mama scholastica Mhagama mlemavu anayeishi mpweke huko Peramiho, Songea

Kuna masamalia mwema ametuma Wheelchair kwa Scholastica Mhagama (76)  mwenye ulemavu wa viungo anayeishi pekee yake katika kibanda kilichoezekwa kwa nyasi.Bibi huyo mkazi wa Kijiji cha Lundusi Kata ya Peramiho wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma, Msamalia huyu kutoka Maryland Marekani anaitwa Joyce Rwehumbiza aliguswa na stori iliyotoka Globu ya Jamii (BOFYA HAPA)  na baadaye kuandikwa na magazeti kadhaa  na kuweka mawasiliano ya   albano.midelo@gmail.com, 0688551355 iliyobeba kichwa cha habari...

 

11 years ago

Habarileo

Mtumishi wa NMB Songea ajinyonga kwa shuka gesti

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Engelbert KiondoWATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti ya kujinyonga, akiwemo mfanyakazi wa benki ya NMB Tawi la Songea, Wilhelim Swai (37) ambaye amejinyonga kwa kutumia shuka katika nyumba ya kulala wageni.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mfanyakazi Namtumbo hospitali mbaroni kwa mauaji

JESHI la Polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya kumchoma moto Sofia Mwingira (34), katika mtaa wa Luseteni wilayani Namtumbo. Wanaoshikiliwa ni mhudumu wa afya wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua Barabara ya Songea-Namtumbo, azindua Hospitali mpya ya Wilaya ya Namtumbo leo

unnamed (46)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwagilia maji mti wa kumbukumbu aliupanda muda mfupi baada ya kuzindua barabara ya Songea hadi Namtumbo yenye urefu wa kilomita 71.4 katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Migelegele wilayani Namtumbo leo. Wapili kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, Watatu ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile, Wanne ni Mkurugenzi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia Tanzania Bwana Bernard Mchomvu,Wapili kulia ni mbunge wa Namtumbo Vita...

 

9 years ago

Dewji Blog

Majaliwa atembelea NFRA na ujenzi wa ofisi ya Mkurugenzi Peramiho

IMGS7705

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Peramiho akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Januari 4, 2015.   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS7592

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mahindi yaliyohifadhiwa nje ya majengo ya maghala ya  Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA mjini Songea akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma Januari 4, 2016.

IMGS7613

IMGS7628

IMGS7659

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa vazi la jadi la Wangoni baada ya kuwasili kwenye   kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

Hali siyo salama kwa CCM majimbo ya Mbinga, Peramiho

Jimbo la PeramihoJimbo la Peramiho ni eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Songea, maarufu kwa jina la Songea Vijijini. Halmashauri hii inaundwa na kata 19, vijiji 74 na vitongoji 617 na kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 hapa Peramiho kuna wakazi 173,821 wanaume wakiwa 86,548, wanawake 87,273 na kuna wastani wa watu wanne katika kila kaya.Peramiho ni kati ya majimbo ambayo yalikuwa na vuguvugu la mabadiliko mwaka 1995 kwenye uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi, japokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani