Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfumko wa bei waporomoka

MFUMKO wa bei kwa mwezi Oktoba 2014 umepungua hadi asilimia 5.9 kutoka asilimia 6.6 mwezi Septemba mwaka 2014.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Serikali yaombwa kudhibiti biashara ya mazao nje kupunguza mfumko wa bei

Baadhi ya wananchi wakiwemo wafanyabiashara wa mazao mbalimbali jijini Mbeya wameiomba Serikali kudhibiti biashara ya mazao ya chakula nje ya nchi hatua ambayo itasaidia kupunguza mfumko wa bei za vyakula.

Wamesema kwa sasa bei za vyakula kutoka kwa wakulima mashambani zimepanda tofauti na ilivyokuwa miezi michache iliyopita hali inayochagiwa na uuzwaji wa mazao hayo nje ya nchi.

Mazao yaliyopanda bei ni pamoja nyanya na Mchele ambao sasa unauzwa kati ya shilingi 34,000 mpaka 40,000 kwa debe...

 

11 years ago

Mwananchi

Mfumuko wa bei nchini waporomoka, shilingi yapaa

>Mfumuko wa bei za bidhaa za vyakula kwa mwezi uliopita umepungua kwa kiasi kikubwa, huku thamani ya shilingi ikipanda.

 

9 years ago

GPL

MSIKITI NCHINI SAUDI ARABIA WAPOROMOKA NA KUUA WATU 107

Kreni  baada ya kuangukia msikiti wa Masjid al-Haram Uokoaji ukiendelea Waumini wa dini ya kiislam wakitaharuki msikitini hapo mara baada ya tukio hilo. Waokoaji…

 

10 years ago

Mwananchi

Licha ya kupata mwekezaji; Usafirishaji mizigo waporomoka kutoka tani 1.4 milioni hadi 200,000

Baada ya Sekta Binafsi kuendesha sekta ya reli pasi na mafanikio ya kuridhisha, mwaka 2011, Serikali iliamua kutengua rasmi mkataba wake na Kampuni ya Reli ya India ya Rites.

 

10 years ago

Mwananchi

Bei za vyakula zapaa, mfumuko wa bei mwezi Machi wafikia asilimia 4.2

Upungufu  wa chakula kwa baadhi ya mikoa nchini umeendelea kusababisha ongezeko la mfumuko wa bei wa Taifa kutoka asilimia 4.2 hadi asilimia 4.2 ndani ya mwezi mmoja.

 

5 years ago

Michuzi

BEI YA SUKARI YATANGAZWA, SERIKALI YAONYA WAFANYABIASHARA WANAOPANDISHA BEI KIHOLELA

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa akizungumza na wandishi wa habari leo katika mkutano wa pamoja na Waziri wa Kilimo ambapo wametangaza bei mpya ya sukari na kutoa onyo kwa wafanyabiashara ambao watapandisha bei kiholela.Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga (kulia) akitangaza bei mpya ya sukari nchini baada ya sukari kupanda ghafla katika kipindi hiki cha ugonjwa wa Corona, pembeni yake ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa.
Charles James, Michuzi TVSERIKALI...

 

5 years ago

Michuzi

MKUU WA TAKWIMU ZA BEI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR


Na Mwashungi Tahir   Maelezo
Imeelezwa kwamba  mfumko wa bei kwa mwaka uloishia February 2020  imeongezeka kufikia asilimia 6.2   ukilinganisha  kwa  mwaka ulioishia January 2020 asilimia 4.9 

Hayo ameyasema Mkuu wa Kitengo cha mfumko wa bei kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali  Khamis Abrahmani Msham wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini kwake Mtakwimu Mkuu wa Serikali ilioko Mazizini .

Amesema ongezeko hilo limetokana  na bidhaa mbali mbali zikiwemo  vyakula...

 

5 years ago

Michuzi

MKUU WA TAKWIMU WA BEI ATOA TAKWIMU ZA BEI.

Mkuu wa Takwimu za Bei katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Abdulrahman Msham akitoa Takwimu za Bei ambapo imeonekana kushuka kutoka Silimia 6.2 kwa Mwezi uliomalizikia February 2020 hadi asilimia 5.0 Mach 2020 hafla iliofanyika ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar.
 Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika hafla ya utoaji wa Takwimu za Bei  ambapo imeonekana kushuka kutoka Silimia 6.2 kwa Mwezi uliomalizikia February 2020 hadi asilimia 5.0 Mach 2020 hafla...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani