Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mganga mashuhuri duniani afanya maajabu Uingereza

TAKRIBANI mwezi sasa umepita nchi ya Uingereza ilimpokea mganga mwenye miujiza ya ajabu na kutata

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Wafahamu watu mashuhuri duniani waliopata maambukizi ya virusi vya corona

Wananasiasa, wanamichezo na waigizaji maarufu duniani ni miongoni mwa watu walioambukizwa na virusi vya corona.

 

10 years ago

GPL

PROFESA CALABASH AFANYA MAAJABU DAR LIVE

Mtaalam wa michezo ya watoto na maigizo nchini, Profesa Calabash katika sikukuu ya Eid al Hajj, Oktoba 5, 2014 alifanya maajabu ndani ya Ukumbi wa burudani wa Dar Live uliopo Mbagala - Zakhem, jijini Dar.

 

10 years ago

GPL

NYONI AMBWAGA CANNAVARO TUZO ZA TASWA, MOTTO AFANYA MAAJABU

Beki wa Azam FC, Erasto Nyoni (kushoto), akikabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2014, na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Asah Mwambene muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo hizo zlizoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ndani ya Ukumbi wa Diamond Jublee. Mgeni rasmi katika tuzo za Twaswa 2014, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar DK. Ali Mohamed Shein (kulia), akikabidhi...

 

9 years ago

Dewji Blog

KARIBU MUSIC FESTIVALS 2015: Papa Wemba afanya maajabu Bagamoyo!

DSC_1032

Mwanamuziki nguli wa dansi kutoka DRC Congo, Papaa Wemba  kushoto akiimba na kucheza sambamba na madansa wake  jukwaani usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la muzuki la Karibu Music Festival msimu wa pili linaloendelea katika viwanja vya Mwanakalenge,mjini Bagamoyo. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[BAGAMOYO-TANZANIA]  Mwanamuziki kutoka Congo mwenye makazi yake nchini Ufaransa, Papaa Wemba, ameweza kuonyesha ukomavu wake kwenye muziki wa dansi licha...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS FLASH: CHEF ISSA AFANYA MAAJABU KWENYE KOMBE LA DUNIA LA MAPISHI 2014 NCHINI LUXEMBORG

 Executive Chef Issa Kipande  tunayemfahamu kama Chef Issa (aliyeshika kombe) wiki hii amefanya makubwa kwa kuwa mmoja wa ma-Chef  wa timu ya Stockholm, Sweden, kushiriki na hatimaye kushika nafasi ya kwanza katika kipengele cha timu za kanda kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la Mapishi  2014 yajulikanayo kama  Villeroy & Boch Culinary World Cup 2014  yaliyofanyika nchini Luxemborg. Mshindi wa jumla alikuwa Singapore.
Kushinda kombe la dunia si mchezo katika tasnia yoyote ile nasi hatuna...

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON: Mganga mkuu Uingereza aonya siha ya akina mama inavyotuathiri sote

Mganga mkuu Uingereza, Profesa Sally Davies, (mwanamke) ,  amesisitiza umuhimu wa afya ya akina mama kwa taifa zima. Katika waraka aliouchapisha siku chache zilizopita-  kubadili kabisa mustakabal wa wanawake -Profesa Sally Davies alitaja mambo sita kisera na kiserikali. Mganga huyu aliye kati ya wanawake wachache wenye nguvu sana Uingereza ( kufuatana na kura ya Radio BBC 4, mwaka juzi), kitaaluma hushughulika na  maradhi ya damu, yaani “haematology”...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani