Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mganga Mkuu aionya taasisi ya Lema

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbles Lema.TAASISI ya Maendeleo ya Jimbo la Arusha (ArDF) imeshauriwa kushirikisha Kituo cha Maendeleo ya Elimu ya Afya Arusha (CEDHA), kila hatua ya ujenzi wa chuo cha wauguzi, kinachotarajiwa kujengwa na taasisi inayoshughulika na uzazi bora na afya ya mama na mtoto ya Maternity Africa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JK ATEUA WAKUU WA MIKOA WAWILI, MGANGA MKUU WA SERIKALI, NAIBU MWANASHERIA MKUU NA MTENDAJI MKUU WA NDC


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wawili wapya wa mikoa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wakuu wa Mikoa ambao wanawania ubunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Septemba 14, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa katika uteuzi wake, Rais Kikwete amemteua Ndugu Amos Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Ndugu Jordan Rugimbana kuwa Mkuu...

 

9 years ago

Habarileo

DC aagiza mganga mkuu kuvuliwa madaraka

MKUU wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, Ponsiano Nyami ameagiza kuvuliwa madaraka kwa Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Byuna, Inocent Magembe kwa kukiuka miiko ya kazi kwa kufanya uzembe na kusababisha mjamzito, Esther Maige kujifungulia nyumbani. Uamuzi huo aliutoa jana ofisini kwake wakati akizungumza na waandishi wa habari kutokana na tukio lililotokea juzi juu ya daktari huyo kutompatia huduma ya matibabu yanayofaa mjamzito aliyefika kituoni hapo na kuamuru arudishwe nyumbani na kisha muda...

 

11 years ago

Habarileo

Waziri ambana Mganga Mkuu Rufiji

MBUNGE wa Rufiji, Dk Seif Rashid, amemwagiza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya, kupeleka dawa katika zahanati zote zilizopo katika jimbo hilo, ili zisaidie wananchi wanaokabiliana na mafuriko yanaoendelea jimboni humo.

 

9 years ago

Habarileo

Mbunge amkataa mganga mkuu wa wilaya

MBUNGE wa Jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe amemkataa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Emmanuel Mihayo kwa madai ya kushindwa kusimamia na kutatua matatizo mbalimbali ya watumishi wa afya, hali inayosababisha hospitali hiyo kugubikwa na migogoro dhidi ya watumishi wake.

 

10 years ago

StarTV

Mganga Mkuu Lindi aagizwa kuunda kamati za Dawa.

Na Joseph Mpangala,

Lindi.

 

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza amemuagiza Mganga Mkuu wa Mkoa huo kuhakikisha anaunda kamati za Dawa kwa kila kituo cha afya kinachokuwa na wachangiaji wa mifuko wa bima ya Afya.

 

Hatua hiyo itapunguza lawama zinazokwenda kwa wafanyakazi wa vituo vya afya kuwa wanaondoka na dawa za wananchi na kuzifanyia biashara pamoja na kupata idadi sahihi ya kiasi cha vifaa vya matibabu vinavyoletwa vituoni   na matumizi yake.

 

Mwantumu Mahiza anasema ktika...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli ateua Makatibu Wakuu wawili na Mganga Mkuu wa Serikali


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli



 

9 years ago

Dewji Blog

JK amemteua Profesa Muhammed Bakari Kambi kuwa Mganga Mkuu wa Serikali.

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Muhammed Bakari Kambi kuwa Mganga Mkuu wa Serikali

Taarifa iliyotolewa, Jumatatu, Septemba 14, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue imesema kuwa uteuzi huo ulianza tokea Jumatano, Septemba 9, 2015.

Kabla ya uteuzi wake, Profesa Muhammed Bakari Kambi alikuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tiba na Afya Shirikishi cha Muhimbili, Dar es Salaam.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya...

 

10 years ago

Michuzi

balozi kamala akutana na katibu mkuu wa taasisi ya kusambaza umeme vijijini na Mkuu Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Jiji la Oestende la Ubelgji

Balozi wa Tanzania Ubelgji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akiwa katika  picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kusambaza Umeme Vijijini katika nchi  zinazoendelea Bwana. Marcus Wieman (katika). Bwana Wieman  alikutana na Balozi Kamala leo Brussels kumweleza mipango ya taasisi yake ya kusambaza umeme vijijini katika nchi zinazoendelea.Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu  Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Jiji la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani