DC aagiza mganga mkuu kuvuliwa madaraka
MKUU wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, Ponsiano Nyami ameagiza kuvuliwa madaraka kwa Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Byuna, Inocent Magembe kwa kukiuka miiko ya kazi kwa kufanya uzembe na kusababisha mjamzito, Esther Maige kujifungulia nyumbani. Uamuzi huo aliutoa jana ofisini kwake wakati akizungumza na waandishi wa habari kutokana na tukio lililotokea juzi juu ya daktari huyo kutompatia huduma ya matibabu yanayofaa mjamzito aliyefika kituoni hapo na kuamuru arudishwe nyumbani na kisha muda...
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
JK ATEUA WAKUU WA MIKOA WAWILI, MGANGA MKUU WA SERIKALI, NAIBU MWANASHERIA MKUU NA MTENDAJI MKUU WA NDC

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wawili wapya wa mikoa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wakuu wa Mikoa ambao wanawania ubunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Septemba 14, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa katika uteuzi wake, Rais Kikwete amemteua Ndugu Amos Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Ndugu Jordan Rugimbana kuwa Mkuu...
5 years ago
MichuziRC TABORA AAGIZA TAKUKURU SIKONGE KUMKAMATA MGANGA MFAWIDHI WA ZAHANATI YA TUTUO KWA TUHUMA ZA MALIPO KWA KAZI HEWA YA KISIMA
MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilaya ya Sikonge kumkamata Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Tutuo Longa Magasha na kuchunguza tuhuma za malipo ya fedha ya milioni moja kwa kazi hewa ya ukarabati wa kisima.
Alisema kiasi hicho cha fedha zilitolewa kupitia fedha ambazo Zahanati hiyo ilipata kutokana na Malipo kwa Ufanisi (RBF) kwa lengo kufanyia ukarabati wa kisima lakini haionyeshia kama kuna kazi...
11 years ago
Habarileo05 May
Waziri ambana Mganga Mkuu Rufiji
MBUNGE wa Rufiji, Dk Seif Rashid, amemwagiza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya, kupeleka dawa katika zahanati zote zilizopo katika jimbo hilo, ili zisaidie wananchi wanaokabiliana na mafuriko yanaoendelea jimboni humo.
9 years ago
Habarileo14 Dec
Mbunge amkataa mganga mkuu wa wilaya
MBUNGE wa Jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe amemkataa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Emmanuel Mihayo kwa madai ya kushindwa kusimamia na kutatua matatizo mbalimbali ya watumishi wa afya, hali inayosababisha hospitali hiyo kugubikwa na migogoro dhidi ya watumishi wake.
10 years ago
Habarileo25 May
Mganga Mkuu aionya taasisi ya Lema
TAASISI ya Maendeleo ya Jimbo la Arusha (ArDF) imeshauriwa kushirikisha Kituo cha Maendeleo ya Elimu ya Afya Arusha (CEDHA), kila hatua ya ujenzi wa chuo cha wauguzi, kinachotarajiwa kujengwa na taasisi inayoshughulika na uzazi bora na afya ya mama na mtoto ya Maternity Africa.
9 years ago
Habarileo30 Dec
Askofu Mkuu Anglikana aonya wang’ang’ania madaraka
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dk Jacob Chimeledya amewatafadhalisha viongozi wa Afrika kutong’ang’ania madaraka ili kutunza amani ambayo ni chachu kubwa ya maendeleo na ustawi wa taifa.
10 years ago
StarTV23 Feb
Mganga Mkuu Lindi aagizwa kuunda kamati za Dawa.
Na Joseph Mpangala,
Lindi.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza amemuagiza Mganga Mkuu wa Mkoa huo kuhakikisha anaunda kamati za Dawa kwa kila kituo cha afya kinachokuwa na wachangiaji wa mifuko wa bima ya Afya.
Hatua hiyo itapunguza lawama zinazokwenda kwa wafanyakazi wa vituo vya afya kuwa wanaondoka na dawa za wananchi na kuzifanyia biashara pamoja na kupata idadi sahihi ya kiasi cha vifaa vya matibabu vinavyoletwa vituoni na matumizi yake.
Mwantumu Mahiza anasema ktika...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU POLISI KUKAMATA WANANCHI, BODABODA BILA KUFUATA UTARATIBU, AAGIZA KILA OPERESHENI MKUU WA WILAYA APEWE TAARIFA, ASISITIZA UCHAGUZI MKUU WA HURU NA HAKI 2020


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...
10 years ago
Dewji Blog16 Sep
JK amemteua Profesa Muhammed Bakari Kambi kuwa Mganga Mkuu wa Serikali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Muhammed Bakari Kambi kuwa Mganga Mkuu wa Serikali
Taarifa iliyotolewa, Jumatatu, Septemba 14, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue imesema kuwa uteuzi huo ulianza tokea Jumatano, Septemba 9, 2015.
Kabla ya uteuzi wake, Profesa Muhammed Bakari Kambi alikuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tiba na Afya Shirikishi cha Muhimbili, Dar es Salaam.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya...