Mgeja amlipua mkapa
Mjumbe wa Kamati ya Taifa ya Kampeni za mgombea Urais wa Chadema,Edward Lowassa,anayeungwa mkono na vyama vya Ukawa,Khamis Mgeja amesema, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, anastahili kufikishwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka na kujimilikisha mali za umma akiwa Ikulu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi23 Aug
MH. PINDA AKUTANA NA MZEE MKAPA NA MAMA ANNA MKAPA JIJINI MWANZA
![PG4A2748](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/DPF5wRQ8hZJkbNwgo5RV5x162SMVaIqQH6iZ3iwcSyhi2cTfwhAO9RSjy0G2_FKQXVjU8PQYNTyHxtpr1Kn7_dlx0O_01m2Kj8mFqLfeqKz_idL8zmsojQU6AQw=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/08/PG4A2748.jpg)
![PG4A2753](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/3Ay8koHw5HAN2Sh7mZyZQharKSrMHWV-GAP-oeX7mx2F2eCduWxyIjQjAJvE5ZS_1KosnqVMP8nsUcFqxcbEaQyogesPAfsWW9h3cvDKaqWB-PmPjZqRuAeRJZI=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/08/PG4A2753.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Dk. Slaa amlipua JK
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kujitokeza hadharani kuzungumzia rasimu ya siri ya Katiba inayodaiwa kuandaliwa na Chama Cha Mapinduzi...
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Mbowe amlipua JK
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amemvaa Rais Jakaya Kikwete, akimtaka kuacha kutafuta huruma ya Watanzania juu ya suala la Katiba na badala yake atumie nafasi...
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Sugu amlipua Zitto
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), ameingizwa katika kashfa ya kuwatumia wasanii na kujipatia zaidi ya sh milioni 100. Tuhuma hizo nzito zilitolewa jana bungeni na Msemaji Mkuu wa...
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Dk. Slaa amlipua Kinana
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amemshambulia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, kwamba anashabikia mfumo wa serikali mbili ili anufaike...
11 years ago
Mwananchi28 May
Membe amlipua Wenje
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Mdee amlipua Tibaijuka
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), amemlipua Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, kwamba anamiliki maelfu ya ekari za ardhi katika maeneo mbalimbali nchini. Mdee...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Mkosamali amlipua Mangula
MBUNGE wa Muhambwe mkoani hapa, Felix Mkosamali (NCCR Mageuzi), amemlipua Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula akidai kuwa ameondoka katika hoteli aliyofikia bila kulipa pango. Akihutubia mamia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KOwdycLvXQXTiQrZWBOB1Mo*rcMSrECBgTRrg9HMbhcHXZv3yWI-7Ev92cy8chnjhvfz2Ye*eTdlP6nuLSPs2LkYI20kwT*/88.jpg?width=650)
JOKATE AMLIPUA DIAMOND!