Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgimwa: Jiungeni mtandao wa wanataaluma

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii Mahmoud Mgimwa amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kujiunga na Mtandao wa Wanataaluma (TNP) ili waweze kupata elimu bora juu ya ujasiliamali. Akizungumza jijini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KONGAMANO LA MTANDAO WA WANATAALUMA NCHINI KUFANYIKA OKTOBA 24

Rais wa mtandao wa wanataaluma nchini, Phares Magesa, akifafanua jambo kwa wanahabari (hawapo pichani). Waandishi wa habari waliokuwa katika hafla hiyo. RAIS wa mtandao wa wanataaluma  nchini (TPN) Phares Magesa, amewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kushiriki kongamano la wanataaluma wote nchini litakalofanyika Oktoba 24 mwaka huu…

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC: Vijana jiungeni Veta

MKUU wa  Wilaya (DC) ya Mpanda, Paza  Mwamlima, amewataka  vijana  kujiunga  na mafunzo  ya  VETA wanapomaliza elimu ya msingi, ili  waweze kupata elimu ya kujiajiri. Mwamlima alitoa wito huo juzi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Watanzania jiungeni mpango wa uchangiaji wa hiari wa PSPF’

WATANZANIA wameshauriwa kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari wa mfuko wa Pensheni wa PSPF, ili kujiongezea kipato na kuishi maisha ya staha. Ushauri huo ulitolewa mwishoni mwa wiki mjini...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU YA UBUNGE WAKE KUTEKELEZA AHADI 90 ZA MBUNGE WA KALENGA ALIYEFARIKI DUNIA DR WILIAM MGIMWA‏

Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa  (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr. Wiliam Mgimwa kwa  viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya ujenzi  wa vyumba vya madarasa  shule ya msingi Lukwambe hadi  sasa ni asilimia 90 ya ahadi binafsi za mbunge aliyefariki  zimetekelezwa jimbo la Kalenga na mbunge Mgimwa…
...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bodi ya ugavi yatakiwa kusimamia wanataaluma

BODI ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), imetakiwa kusimamia mienendo ya wanataaluma ili kuhakikisha kunakuwa na heshima na maadili ya fani na kazi. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanataaluma waonyesha wasiwasi matokeo kidato 4

Siku moja baada ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kutangaza matokeo ya kidato cha nne na kuonyesha ufaulu kuongezeka kwa asilimia 15, wadau wa elimu wamepinga matokeo hayo kwa madai kuwa ubora wa elimu haukuangaliwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanataaluma UDSM, Warioba wamlilia Balozi Kazaura

Wasomi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), wamesema aliyekuwa Mkuu wa chuo hicho, Balozi Fulgence Kazaura ni mtu ambaye amekiacha chuo hicho sehemu nzuri kiuchumi na kitaaluma.

 

11 years ago

Michuzi

MUCCoBS YAWAKUTANISHA WANATAALUMA NA WAAJIRI KATIKA CAREER DAY

Baadhi ya wananfunzi katika chuo kikuu cha Ushirika na Biashara Moshi(MUCCoBS) mjini Moshi wakiwa katika ukumbi wa Nyerere kufuatilia Career Day iliyofanyika chuoni hapo. Wanafunzi wanaochukua taaluma mbalimbali walipata nafasi ya kuwaeleza waajiri nini wanaweza kufanya pindi watapato nafasi ya kuajiri wa katika taasisi ,kampuni na mashirika mablimbali.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani