Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KONGAMANO LA MTANDAO WA WANATAALUMA NCHINI KUFANYIKA OKTOBA 24

Rais wa mtandao wa wanataaluma nchini, Phares Magesa, akifafanua jambo kwa wanahabari (hawapo pichani). Waandishi wa habari waliokuwa katika hafla hiyo. RAIS wa mtandao wa wanataaluma  nchini (TPN) Phares Magesa, amewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kushiriki kongamano la wanataaluma wote nchini litakalofanyika Oktoba 24 mwaka huu…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mgimwa: Jiungeni mtandao wa wanataaluma

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii Mahmoud Mgimwa amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kujiunga na Mtandao wa Wanataaluma (TNP) ili waweze kupata elimu bora juu ya ujasiliamali. Akizungumza jijini...

 

10 years ago

Michuzi

Kongamano la kuhamasisha ushiriki wa Diaspora katika kukuza biashara ndogo na za kati kufanyika nchini

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Diaspora kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bi. Rosemary Jairo akiongea na waandishi wa Habari kuhusu Maandalizi ya Kongamano la Diaspora (Tanzania and SMEs Partnership Conference 2015) litakalofanyika kuanzia tarehe 13-15 Agosti 2015 Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO), Leo Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waandishi wa Habari wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Idara ya Diaspora kutoka Wizara ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kufanyika Oktoba viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar

Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Bw. Alvaro Rodriguez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya sherehe za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa pamoja na kutolea ufafanuzi malengo 17 ya maendeleo endelevu (SDGs) yenye lengo la kufuta kabisa umaskini.(Picha zote ne Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).

DSC_0181

Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Hassan Simba Yahya akizungumza na waandishi wa...

 

9 years ago

Michuzi

NIMRI KUFANYA KONGAMANO LA SAYANSI LA 29 KUANZIA OKTOBA 13-15, 2015

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI), Dk. Mwele Malecela akiongea na waandishi wa habari leo ofisini kwake kuwaelezea juu ya kongamano la Sayansi la 29 kuanzia Oktoba 13-15, 2015 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Pembeni yake ni Meneja Raslimali Watu, Bupe Ndelwa. Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
 TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu inapenda kutoa taarifa kuwa itafanya Kongamano lake la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serengeti Film Awards kufanyika Oktoba

SERENGETI Film Awards Limited imeandaa tuzo kwa ajili ya Wasanii wanaofanya kazi katika tasnia ya filamu Tanzania, ambazo zitakuwa zikifanyika kila mwaka. Tuzo hizo ambazo zimepewa jina la ‘Serengeti Film...

 

9 years ago

Mtanzania

Tamasha fahari ya Mwafrika kufanyika Oktoba 3

FahariTUNU NASSOR NA LUGOLA CHITAGE (TUDARCO)
TAMASHA la Fahari ya Mwafrika litakaloshirikisha wadau wa sanaa ya mitindo, vichekesho na wapishi wa vyakula vya asili linatarajiwa kufanyika Oktoba 3 mwaka huu.

Mkurugenzi wa kampuni ya Black Sensation ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo, Lilian Masuka, alisema tamasha hilo litakalofanyika Escape One linalenga kukuza mila na tamaduni za Kiafrika zinazoelekea kupotea nchini.

“Washindi wa shindano hili hawatachaguliwa kwa kupigiwa kura bali tafiti...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Maafisa Mipango kufanyika Oktoba

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini (Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango), Bi Joyce Mkinga (Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akitoa taarifa ya kufanyika kwa Mkutano wa Maafisa Mipango unaotarajiwa kufanyika Mwezi wa Oktoba mwaka huu. Kulia ni Mchumi Mkuu (Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango), Bw. Omary Juma.

 

10 years ago

GPL

SIKU YA MSANII TANZANIA KUFANYIKA OKTOBA 25 DAR

Mmoja wa watayarishaji wa tamasha hilo, Catherine Metili (kushoto), Peter Mwendapole, Abdul Salvador, na Mkurugenzi wa kampuni ya Haak Neel Production, Godfrey Katula wakiwa mbele ya wanahabari (hawapo pichani) jana.
Wanahabari wakiwa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani