Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgogoro umiliki machimbo Rongoma waanza kusikilizwa

MGOGORO wa umiliki wa machimbo ya moramu na tofali ya Rongoma ambayo yalisababisha vifo vya watu wawili hivi karibuni katika Kijiji cha Masaera, Wilaya ya Moshi vijijini umepelekwa mbele ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Nyongo amaliza mgogoro kwenye machimbo ya madini Handeni.


Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akizungumza na wananchi kwenye eneo la machimbo ya dhahabu la Kwandege lililopo wilayani Handeni mkoani Tanga tarehe 25 Juni, 2020.
Wananchi wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (hayupo pichani) kwenye eneo la machimbo ya dhahabu la Kwandege lililopo wilayani Handeni mkoani Tanga tarehe 25 Juni, 2020 .
Mmoja wa wananchi wa eneo la machimbo ya dhahabu la Kwandege lililopo wilayani Handeni mkoani Tanga...

 

5 years ago

BBCSwahili

Sheria ya umiliki ardhi invyomsaidia mwanamke kupata haki ya umiliki

Serikali inafanya nini kuhakikisha sheria ya umiliki wa ardhi inawafaidisha wanawake.

 

10 years ago

Habarileo

TMAA kukabili machimbo haramu

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini nchini (TMAA) umesema migodi haramu ya madini ya ujenzi imekuwa ikiikosesha Serikali mapato kutokana na kufanya shughuli za uchimbaji wa madini hayo kinyume na sheria.

 

10 years ago

Mwananchi

Machimbo yachangia mimba za utotoni

Kahama. Uwepo wa machimbo mengi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu eneo la Bulyanhulu lenye kata za Luguya, Bulyanhulu na Bugalama wilayani hapa, imedaiwa kuwa moja ya sababu inayochangia watoto wengi kukatisha masomo hasa wasichana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Machimbo yazua maafa Kenya

Wasiwasi unaibuka miongoni mwa wakazi wa pwani ya Kenya kufuatia ongezeko la majeruhi na vifo kutoka machimboni, huku watoto wakiwa hatarini zaidi.

 

10 years ago

GPL

WATU 19 WAFARIKI KATIKA MACHIMBO YA DHAHABU KAHAMA

Wachimbaji wadogo wadogo 19 wa dhahabu wamefariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha kubomoka kwa mashimo hayo katika machimbo ya kijiji cha Karore, Kata ya Runguya, Tarafa ya Msalala mkoani Kahama. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani humo, Justus Kamugisha, amesema usiku wa kuamkia leo kuna wachimbaji ambao walivavamia machimbo hayo ambayo yalishaachwa kuchimbwa muda...

 

9 years ago

Mtanzania

Wanane wahofi wa kufukiwa machimbo ya dhahabu Kahama

kamugishaNA PAUL KAYANDA, KAHAMA

WATU zaidi ya wanane wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo katika machimbo ya Nyangarata katika Kata ya Lunguya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha alisema tukio hilo lilitokea juzi asubuhi baada ya watu wapatao 20 kuingia katika shimo la uchimbaji dhahabu na kifusi hicho kikaanguka wakiwa ndani.

Alisema ingawa idadi kamili juu ya waliokuwa ndani ya shimo inakadiriwa kuwa 20 lakini baada ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mapango ya Amboni hatarini, yageuzwa machimbo ya mawe

Huwezi kupata uhondo kwa kusimuliwa pekee, kilichopo katika Mapango ya Amboni kinavutia ukiyaona kwa macho yako mwenyewe. Ni maajabu ya Mwenyezi Mungu yaliyosheheni ndani ya kivutio hicho cha utalii.

 

9 years ago

StarTV

Wachimbaji wadogo walia na Serikali kwa uvamizi maeneo ya machimbo

Wachimbaji Wadogo katika kijiji cha Samina wamedai kuwa Serikali haiwajali na imekuwa ikiwapa ahadi zisizokamilika hali iliyochangia wachimbaji hao kuvamia maeneo hatarishi na kujitafutia riziki.

Wakiongea na Mkuu wa Mkoa wa Geita Fatma Mwassa wamesema kuwa waliahidiwa kutafutiwa maeneo ya uchimbaji lakini maeneo waliyopewa hayakuwa na dhahabu hali iliyokatisha tamaa na kuchangia kuongezeka kwa vijana wasio na ajira

Mkuu wa Mkoa Fatma Mwassa amewapa nafasi wachimbaji wataje maeneo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani