Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Naibu Waziri Nyongo amaliza mgogoro kwenye machimbo ya madini Handeni.


Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akizungumza na wananchi kwenye eneo la machimbo ya dhahabu la Kwandege lililopo wilayani Handeni mkoani Tanga tarehe 25 Juni, 2020.
Wananchi wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (hayupo pichani) kwenye eneo la machimbo ya dhahabu la Kwandege lililopo wilayani Handeni mkoani Tanga tarehe 25 Juni, 2020 .
Mmoja wa wananchi wa eneo la machimbo ya dhahabu la Kwandege lililopo wilayani Handeni mkoani Tanga...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NAIBU WAZIRI NYONGO AUTAKA UONGOZI WA STAMIGOLD KUSHIRIKIANA NA WAFANYAKAZI KUZALISHA MADINI KWA UFANISI



Na Nuru Mwasampeta, WM
Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo ameutaka uongozi wa Mgodi wa Stamigold kuwajali wafanyakazi na kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuongeza uzalishaji katika mgodi huo.  Amesema ,uongozi wa wizara utafika mgodini hapo mara kwa mara kusikiliza na kutatua changamoto zao ili kuongeza uzalishaji.
Amewataka viongozi hao kufanya kazi na wasambazaji na wataalamu  wa nje  wenye uadilifu na ufanisi  mkubwa ili kusaidia katika kuongeza  uzalishaji mgodini hapo. “Msione shida...

 

5 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Nyongo awataka viongozi wa vijiji kushiriki kutoa elimu ya uwekezaji sekta ya madini kupunguza migogoro


Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Juma Sweda (shati ya draft) nyuma yao ni Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Fredy Mahobe na wajumbe wengine wakitoka kukagua jengo lililoandaliwa kwa ajili ya kufungua soko la madini la wilaya hiyo. (Picha na Wizara ya Madini).
.Mkurugenzi wa Kampuni ya Busolwa Mining LTD, Baraka Ezekiel akielezea jambo kwa ujumbe ulioambatana na Naibu Waziri Nyongo wakati wa ziara ya kukagua kusikiliza na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA MACHIMBO YA MADINI YA KAOLIN WILAYANI KISARAWE

 Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira ) Mussa Azzan Zungu akiambatana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Jokate Mwegelo, viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuwasili eneo la machimbo ya madini ya Kaolin wilayani Kisarawe. Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais( Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amefanya ziara katika eneo la machimbo ya madini ya kaolin yanayomilikiwa na kampuni ya Rakkadlin Co. Ltd wilayani...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI NYONGO AONGOZA KIKAO CHA MARIDHIANO NA KUPOKEA OMBI LA MWEKEZAJI


NAIBU Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Nzega ili kusikiliza maombi na kutatua changamoto za wachimbaji wadogo wa madini Aprili 27 mwaka huu

NAIBU Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo kulia akihoji jambo kwa wachimbaji waliokuwa wakilalamika kutopewa leseni kwenye eneo ambalo waliliomba jambo ambalo RMO alipaswa kukaa na pande hizo kutafuta muafaka
NAIBU Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akizungumza na waandishi...

 

5 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Nyongo autaka uongozi wa Stamigold kushirikiana na wafanyakazi kuzalisha kwa ufanisi



Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akionesha eneo alipokuwa akipewa maelekezo ya namna kazi za uchimbaji zinavyofanyika katika mgodi wa Stamigold uliopo wilayani Biharamulo mkoani Kagera alipofanya ziara ya kikazi mgodini hapo. (Picha na Wizara ya Madini).

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akitoa maelekezo kwa viongozi na watumishi wa mgodi wa Stamigold mara baada ya kupokea taarifa za kiutendaji na kukagua mgodi huo. (Picha na Wizara ya Madini).
Meneja wa uchimbaji, Mhandisi...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI MOROGORO

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla amemaliza ziara yake ya siku tisa mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki.
Mhe. Makalla amemaliza ziara hiyo kwa kutembelea miradi ya maji ya Halmashauri za Wilaya za Ulanga na Kilombero na kukagua utekelezaji wake.
“Utekelezaji unaenda vizuri, isipokuwa kasi iongezwe ili miradi yote ikamilike kwa wakati, na nitafuatilia kwa ukaribu miradi yote niliyoikagua na nitarudi kuangalia maendeleo yake”. Wakati umefika kuhakikisha sekta ya maji inatekeleza sera zake...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mgogoro umiliki machimbo Rongoma waanza kusikilizwa

MGOGORO wa umiliki wa machimbo ya moramu na tofali ya Rongoma ambayo yalisababisha vifo vya watu wawili hivi karibuni katika Kijiji cha Masaera, Wilaya ya Moshi vijijini umepelekwa mbele ya...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Nishati na Madini atembelea mgodi wa dhahabu bulyanhulu

Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, Brad Gordon, (wapili kushoto), akimpa maelezo Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, (watatu kushoto), alipotembelea eneo la chini ya ardhi la mgodiwa Bulyanhulu kiasi cha kilomita 1.5 chini ya bardhi, Jumamosi Aprili 11, 2015. Kushoto ni mwenyekiti wa kampiuni ya uchimbaji dhahabu ya Mlalo, Mohammed Hussein.Naibu waziri wa nishati na madini, Charles Kitwanga, (kushoto), na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya uchimbaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani