Mgombea kupinga matokeo
ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo jipya la Nsimbo mkoani Katavi, Gerald Kitabu kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amekataa matokeo ya jimbo hilo yaliyotangazwa na kumpa ushindi mpinzani wake, Richard Mbogo wa Chama Cha Mapinduzi(CCM).
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Dk Kebwe kupinga matokeo mahakamani
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Kafulila aibuka kupinga matokeo ya Mwilima
9 years ago
Mwananchi28 Oct
CCM kupinga matokeo majimbo manne
10 years ago
BBCSwahili17 May
Waandamana Togo kupinga matokeo ya uchaguzi
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
Mwakalebela afungua kesi ya kupinga matokeo
Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Elisha Mwampashi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana. (Picha na Friday Simbaya)
ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Iringa Mjini, Frederick Mwakalebela, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), amefungua kesi mahakamani ya kupinga matokeo yaliompa ushindi, Mchungaji Peter Msigwa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Kesi hiyo ya uchaguzi iliyofunguliwa kwa No. 5 ya mwaka 2015 imefunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Iringa...
9 years ago
Mtanzania04 Nov
CUF kupinga matokeo ya ubunge majimbo sita
NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Wananchi (CUF) kinatarajia kufungua kesi katika mahakama mbalimbali nchini kupinga matokeo ya majimbo sita katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Ofisa wa Haki za Binadamu na Sheria wa CUF, Mohamed Mluya, aliyataja majimbo hayo kuwa ni Lindi Mjini, Newala, Mtwara Vijijini, Pangani, Mbagala na Tabora Mjini ambayo uchaguzi wake uligubikwa na dosari mbalimbali.
Alisema...
9 years ago
Habarileo29 Oct
CCM kupinga mahakamani matokeo ya majimbo manne
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kutoridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye majimbo ya Kawe, Ndanda, Mikumi na Iringa Mjini na kimesema kitayapinga matokeo hayo mahakamani.
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Cuf yaungana na CCM kupinga matokeo ya ubunge
9 years ago
Mwananchi29 Oct
CCM kupinga matokeo ya Mdee, Mch. Msigwa mahakamani