MGOMBEA MMOJA UKAWA NI HALALI KISHERIA ASEMA LUBUVA
Dodoma. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Jaji Damian Lubuva amesema mpango wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wa kusimamisha mgombea mmoja katika Uchaguzi Mkuu mwakani ni halali kisheria.Vyama vinavyounda Ukawa ni NCCR-Mageuzi, CUF, Chadema na NLD.Jaji Lubuva alisema hayo jana mjini Dodoma katika semina ya siku mbili ya Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania ya kuwahamasisha wadau wa siasa kudumisha amani na utulivu ambayo ilihudhuriwa na vyama vyote...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Lubuva: Mgombea mmoja ukawa sawa
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-NoB87ZLItfI/U3FU3CQL8vI/AAAAAAABJvQ/hYU0xIg-qCU/s72-c/ukawa.jpg)
Ukawa waungwa mkono mgombea mmoja
![](http://3.bp.blogspot.com/-NoB87ZLItfI/U3FU3CQL8vI/AAAAAAABJvQ/hYU0xIg-qCU/s640/ukawa.jpg)
Aliyekuwa mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Mwesiga Baregu, alisema lengo la kuundwa kwa Ukawa lilikuwa ni kuunganisha nguvu kusaidia mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya ambayo alidai kupinduliwa.
Prof. Baregu, alisema maazimio ya Ukawa...
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Ukawa waazimia kusimamisha mgombea mmoja
11 years ago
Tanzania Daima02 May
UKAWA: Mgombea urais mmoja 2015
HATIMAYE Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umeweka hadharani dhamira yake ya kutaka vyama vinavyounda umoja huo kumsimamisha mgombea mmoja kwenye uchaguzi mkuu mwakani. Hatua hiyo ilitangazwa hadharani jana na...
10 years ago
Habarileo12 Jul
Mjadala mgombea mmoja Ukawa bado siri
UPATIKANAJI wa mgombea mmoja wa urais kupitia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umeendelea kujadiliwa katika kikao cha siri cha vyama hivyo, huku hali ikijionesha kuwepo kwa mvutano baina ya vyama vikuu katika umoja huo.
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Prof. Lipumba: UKAWA mgombea mmoja 2015
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa. Ibrahimu Lipumba, amevitaka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kumsimamisha mgombea mmoja wa urais ambaye atakishinda Chama cha Mapinduzi (CCM)...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT0sI9XvT2FyIyDZtXgF69O4RvkTy9ObO1stJ2ttqTID9wpFclw9HKUk5g8utqZUZ0sMMEr-1qZgvHJBH99n22yf/Ibrahim_Lipumba.jpg?width=650)
KIKWAZO CHA UKAWA KUSIMAMISHA MGOMBEA MMOJA WA URAIS
9 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Mzee Makamba asema mgombea Ukawa fisadi
KATIBU Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yussuf Makamba, amesema mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ni fisadi, mwongo na hakerwi na umasikini wa Watanzania.
Amemtaka kujitokeza hadharani kukanusha kwamba yeye si fisadi na kwamba, alitaka kuondoka CCM mwaka 1995 na alimwandikia barua kueleza hayo.
Makamba alisema hayo jana, kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, alipohutubia mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea urais wa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YK7YUxgP3lA/VNkQhiFP-RI/AAAAAAAHCto/7JEmX9UFYuo/s72-c/download%2B(1).jpg)
JE WAJUA KUWA WOSIA WA MANENO NI WOSIA HALALI KISHERIA?
![](http://2.bp.blogspot.com/-YK7YUxgP3lA/VNkQhiFP-RI/AAAAAAAHCto/7JEmX9UFYuo/s1600/download%2B(1).jpg)