Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgomo Tazara wazidi kuleta madhara

Dk Harison MwakyembeWAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wameendelea na mgomo wao wa kushinikiza kulipwa kwa mishahara yao ya miezi mitano na kusikilizwa madai yao, hali iliyolazimu uongozi wa mamlaka hiyo kurudisha nauli kwa abiria waliokuwa wasafiri na treni jana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DMV ZAANZA KULETA MADHARA

Mvua zinazoendelea kunyesha siku ya pili mfululizo DMV zimeanza kuleta madhara kama unaovyo kwenye picha gari dogo aina ya Nissan ikiwa imeangukiwa na mti lilipokua limeegeshwa katika barabara ya 23 NW Washington, DC. Picha na Eliud Mbowe

 

10 years ago

BBCSwahili

TZ: TAZARA yakumbwa na mgomo

Nchini Tanzania Wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia TAZARA wameanza mgomo wa siku saba wakishinikiza Serikali kuwalipa malimbikizo ya mishahara ya miezi mitano hadi sasa

 

11 years ago

Mwananchi

Mgomo wakwamisha abiria Tazara

Zaidi ya abiria 200 waliokuwa wakisafiri kwa kutumia treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) wamekwama jijini hapa baada ya wafanyakazi wa upande wa Tanzania kugoma kwa siku ya pili mfululizo kwa madai hadi Serikali itakapowalipa mishahara yao ya Februari hadi Mei.

 

11 years ago

Habarileo

Mgomo wa Tazara uko palepale

Makao makuu ya Tazara upande wa Tanzania jijini Dar es SalaamWAFANYAKAZI wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), wamesisitiza msimamo wao wa kuendelea kugoma kutoa huduma, hadi hapo watakapohakikishiwa kwamba malimbikizo ya mishahara yao yatalipwa na malipo ya miezi ijayo, yatafanyika.

 

11 years ago

Mwananchi

Mgomo Tazara waingia bungeni

Wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisema Serikali inalishughulikia tatizo la mgomo wa wafanyakazi wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), ili kurejesha usafiri katika maeneo yaliyoathirika, wenyewe wamesisitiza kutorudi kazini hadi madai yao yatakapofanyiwa kazi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Abiria wahangaika mgomo wa Tazara ukianza

Abiria wa Treni ya Tazara wamehangaika kutwaa leo baada ya wafanyikazi kususia kazi wakilalamikia ukosefu wa mishahara yao.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri Mkuu azungumzia mgomo Tazara

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali inalifanyia kazi suala la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) ambao wamegoma ili kurejesha mawasiliano ya usafiri.

 

10 years ago

CloudsFM

MTI MKUBWA WAANGUKA MCHANA HUU NA KULETA MADHARA MAENEO YA SEA VIEW,UPANGA

Mti mkubwa waanguka mchana wa leo na kuleta madhara maeneo ya Sea View,Upanga,jijini Dar. Chanzo cha kuanguka kwa mti huo ni kutokana na ukongwe wa mti huo.

Source: Michuzi

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA MABASI, DALADALA WAZIDI KUTIKISA DAR

Polisi wakiwa wametanda eneo la Stendi ya Ubungo kuhakikisha hali ya usalama. Wananchi wakiwa wametaharuki katika eneo la Ubungo kutokana na mgomo unaoendelea.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani