TZ: TAZARA yakumbwa na mgomo
Nchini Tanzania Wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia TAZARA wameanza mgomo wa siku saba wakishinikiza Serikali kuwalipa malimbikizo ya mishahara ya miezi mitano hadi sasa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo20 May
Mgomo wa Tazara uko palepale
WAFANYAKAZI wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), wamesisitiza msimamo wao wa kuendelea kugoma kutoa huduma, hadi hapo watakapohakikishiwa kwamba malimbikizo ya mishahara yao yatalipwa na malipo ya miezi ijayo, yatafanyika.
11 years ago
Mwananchi14 May
Mgomo wakwamisha abiria Tazara
11 years ago
Mwananchi16 May
Mgomo Tazara waingia bungeni
10 years ago
Habarileo14 Jan
Mgomo Tazara wazidi kuleta madhara
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wameendelea na mgomo wao wa kushinikiza kulipwa kwa mishahara yao ya miezi mitano na kusikilizwa madai yao, hali iliyolazimu uongozi wa mamlaka hiyo kurudisha nauli kwa abiria waliokuwa wasafiri na treni jana.
11 years ago
Habarileo16 May
Waziri Mkuu azungumzia mgomo Tazara
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali inalifanyia kazi suala la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) ambao wamegoma ili kurejesha mawasiliano ya usafiri.
10 years ago
BBCSwahili27 Aug
Abiria wahangaika mgomo wa Tazara ukianza
9 years ago
Mwananchi18 Aug
Dar yakumbwa na kipindupindu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bAnmdOW7NaifIncoRODgz0OkWCA*gWxCFwZpW1hFr*vkFDH8CP0Xz2d7Gd6koOcTiYQoYNli0heXdkKFJFcIRiVDQAzX5LcC/BACKAMANI.jpg?width=650)
FAMILIA YAKUMBWA NA MAUZAUZA
10 years ago
Mtanzania12 May
Muhimbili yakumbwa na uhaba wa damu
NA TUNU NASSOR , DAR ES SALAAM
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imekumbwa na uhaba wa damu hali ambayo imeulazimu uongozi wa hospitali hiyo kuomba msaada wa dharura kwa Serikali na watu binafsi.
Uongozi huo pia umewaomba Watanzania, mashirika ya umma, makampuni na watu binafsi kujitokeza kusaidia kuchangia damu kuokoa maisha ya wagonjwa wanaopelekwa katika hospitali hiyo.
Taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Wateja, Aminiel Aligaesha, ilieleza kuwa kwa...