Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu azungumzia mgomo Tazara

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali inalifanyia kazi suala la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) ambao wamegoma ili kurejesha mawasiliano ya usafiri.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo5

Waziri Mkuu azungumzia Matukio ya watu Kutekwa na Kupotea

Mheshimiwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema Serikali imesikia matukio yote yanaondelea nchini na kuwataka Watanzania kuwa watulivu na kuipa serikali na vyombo vya ulinzi muda.


Pichani: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Waziri Majaliwa ametoa kauli hiyo katika Mkutano wa Saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaloendelea mjini Dodoma, kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo ya wabunge kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani, Mbunge wa Hai, Mh....

 

10 years ago

BBCSwahili

TZ: TAZARA yakumbwa na mgomo

Nchini Tanzania Wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia TAZARA wameanza mgomo wa siku saba wakishinikiza Serikali kuwalipa malimbikizo ya mishahara ya miezi mitano hadi sasa

 

11 years ago

Habarileo

Mgomo wa Tazara uko palepale

Makao makuu ya Tazara upande wa Tanzania jijini Dar es SalaamWAFANYAKAZI wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), wamesisitiza msimamo wao wa kuendelea kugoma kutoa huduma, hadi hapo watakapohakikishiwa kwamba malimbikizo ya mishahara yao yatalipwa na malipo ya miezi ijayo, yatafanyika.

 

11 years ago

Mwananchi

Mgomo wakwamisha abiria Tazara

Zaidi ya abiria 200 waliokuwa wakisafiri kwa kutumia treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) wamekwama jijini hapa baada ya wafanyakazi wa upande wa Tanzania kugoma kwa siku ya pili mfululizo kwa madai hadi Serikali itakapowalipa mishahara yao ya Februari hadi Mei.

 

11 years ago

Mwananchi

Mgomo Tazara waingia bungeni

Wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisema Serikali inalishughulikia tatizo la mgomo wa wafanyakazi wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), ili kurejesha usafiri katika maeneo yaliyoathirika, wenyewe wamesisitiza kutorudi kazini hadi madai yao yatakapofanyiwa kazi.

 

10 years ago

Habarileo

Mgomo Tazara wazidi kuleta madhara

Dk Harison MwakyembeWAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wameendelea na mgomo wao wa kushinikiza kulipwa kwa mishahara yao ya miezi mitano na kusikilizwa madai yao, hali iliyolazimu uongozi wa mamlaka hiyo kurudisha nauli kwa abiria waliokuwa wasafiri na treni jana.

 

11 years ago

BBCSwahili

Abiria wahangaika mgomo wa Tazara ukianza

Abiria wa Treni ya Tazara wamehangaika kutwaa leo baada ya wafanyikazi kususia kazi wakilalamikia ukosefu wa mishahara yao.

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU KATIBU WA MADEREVA AZUNGUMZIA MGOMO WAO UNAOPANGWA KUANZA KESHO

Leo  Agosti 16 mwaka 2015 kulikuwa na mkutano wa madereva wa mabasi ulifanyika katika ukumbi wa Kimara resort jijini Dar es salaam na kuahamua haya yafuatayo;Kwa mujibu wa Naibu katibu mkuu wa madereva (TADU), Rashidi Saleh aliwaeleza madereva hatima ya kamati ambayo imeundwa na Waziri Mkuu kusuruhisha kero za Madereva  hapa nchini.

Naibu katibu mkuu wa madereva (TADU), Rashidi Saleh akizungumza na madereva amesema "Tarehe 13 /8 tulipo kwenda baada ya wao kusikia kuna tishio la mgomo,tulizani...

 

10 years ago

Dewji Blog

DC wa Kinondoni, Paul Makonda azungumzia maafikiano yaliyofikiwa kumaliza mgomo wa madereva nchini

IMG_3707

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maafikiano hayo.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maafikiano hayo.

IMG_3656

Wanahabari wakisubiri kuchukua taarifa hiyo.

Na Dotto Mwaibale

 MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amesema Serikali  imetimiza masharti ya madereva kwa kuunda kamati ya kushughulikia kero na matatizo ya madereva ambayo inatarajia kuanza kazi yake Ijumaa.

Hatua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani