MICHANGO HOLELA UFISADI WA ARDHI TATIZO KUBWA BUSANDA
Mhe. Lolesia Masele Bukwimba. BUSANDA ni miongoni mwa majimbo ya uchaguzi yanayopatikana mkoani Geita. Linasadikika kuwa moja kati ya majimbo makubwa hapa nchini na la kwanza kwa mkoa huo. Shughuli kubwa za wakazi wa jimbo hilo ni kilimo, ufugaji na biashara kwa baadhi ya maeneo kama Katoro. Busanda kuna mchanganyiko wa makabila mengi yakiwemo Wasukuma, Wazinza, Wasumbwa, Wajita, Wahaya na Wahangaza kwa uchache lakini wakazi wa...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0Q2wQQTk6fY/XmzgrQ7NC_I/AAAAAAALjpc/2nkjcVzNRH0-rtl6erRmh-kO_Nq41mlHACLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_5909-768x467.jpg)
WAKUU WA SHULE ENDELEENI KUDHIBITI MICHANGO HOLELA-MAJALIWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-0Q2wQQTk6fY/XmzgrQ7NC_I/AAAAAAALjpc/2nkjcVzNRH0-rtl6erRmh-kO_Nq41mlHACLcBGAsYHQ/s640/PMO_5909-768x467.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/PMO_5878-1024x664.jpg)
Wadau wa Elimu wa Wilaya ya Ruangwa, wakipiga makofi, wakati wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwenye kikao cha maendeleo ya elimu, kilichofanyika katika ukumbi wa Narung’ombe, Ruangwa, Lindi. Machi 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
………………………………………
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa...
10 years ago
Habarileo26 Feb
‘Magonjwa ya macho ni tatizo kubwa’
WIZARA ya Afya imesema maradhi ya macho ni moja ya tatizo kubwa la afya ambalo limepewa kipaumbele na wizara hiyo ili kutoa matibabu kwa wananchi.
9 years ago
BBCSwahili31 Aug
Tatizo la chakula ni kubwa Somalia
11 years ago
Mwananchi20 Jul
Tatizo la kupata haja kubwa
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Sheria ya ardhi Tandahimba tatizo
KUANZIA katikati ya miaka ya 1980 na kuendelea, nchi mbalimbali duniani zimeshuhudia mabadiliko makubwa katika mifumo yake ya umilikaji wa ardhi. Tanzania ni nchi mojawapo ambayo imepitia katika mabadiliko hayo,...
10 years ago
Habarileo11 Feb
Waziri: Ukeketaji bado ni tatizo kubwa
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba amesema ukatili wa kijinsia bado ni changamoto kubwa nchini ambapo suala la ukeketaji bado linatisha huku utafiti ukionesha kwamba kati ya wasichana watano, wawili wanaolewa kabla ya kufikisha umri wa miaka 18.
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Tatizo ni kubwa ndani ya Jeshi la Polisi
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam wiki iliyopita limewafukuza kazi askari wake wanne kwa makosa ya utovu wa nidhamu, ikiwemo kujihusisha na vitendo vya ujambazi. Kwa mujibu...
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Tatizo letu ni kubwa zaidi ya CCM
MTU aliye makini ataweza kutambua haraka kwamba tatizo letu ni kubwa zaidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nami pia ninashawishika kufikiri kwamba tatizo si CCM, bali ni la Watanzania wote....
10 years ago
Dewji Blog30 Jan
Ulemavu wa kuzaliwa tatizo kubwa duniani
Watoto huchukuliwa kama taifa la kesho duniani kote hivyo basi kuwapatia huduma ya afya sahihi lazima ipewe kipaumbele . Mahitaji ya afya ya watoto ni ya kipekee sana, na ya tofauti sana ukilinganisha na watu wazima kwahiyo yanahitaji bidii sana. Mara kwa mara kumekuwepo matukio kadhaa ya kuzaliwa kabla wa wakati, uzito mdogo wa kuzaliwa, mtoto kuzaliwa na kisukari, pumu, uzito na unene uliopitiliza, watoto walioungana na kasoro nyingine nyingi. Kasoro hizi za kuzaliwa zinaripotiwa mara...