Sheria ya ardhi Tandahimba tatizo
KUANZIA katikati ya miaka ya 1980 na kuendelea, nchi mbalimbali duniani zimeshuhudia mabadiliko makubwa katika mifumo yake ya umilikaji wa ardhi. Tanzania ni nchi mojawapo ambayo imepitia katika mabadiliko hayo,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/li0jpfi0h9nbpvBlo*NOnIuGm5dcdpvFDdDpIxNnABNNsz-9*TDj1*PhPiyXJEgjf1bJuJIGKU0Qsw*jjWX2vMGJmJqSno0y/Amer.jpg)
WANYAMA WAKALI, MIGOGORO YA ARDHI NI TATIZO
Wengi wanaifahamu Mikumi kama hifadhi ya taifa ya wanyama iliyopo mkoani Morogoro. Lakini pia Mikumi ni jimbo la uchaguzi lililopo ndani ya Wilaya ya Kilosa, likiwa na ukubwa wa karibu kilometa 7,353. Mheshimiwa Abdulsalaam Seleman Amer (kushoto) akizungumza jambo. Wiki iliyopita, kama kawaida Gazeti la Uwazi lilichanja mbuga mpaka kwenye jimbo hilo linaloongozwa na mheshimiwa Abdulsalaam Seleman Amer kwa tiketi ya Chama cha...
10 years ago
Mwananchi25 Feb
Kizungumkuti cha tatizo la ardhi Afrika ya Kusini
Licha ya hayo, serikali yake ya Chama cha African National Congress (ANC), inabidi sasa ilipatie ufumbuzi suala gumu la umilikaji ardhi.
10 years ago
GPLMICHANGO HOLELA UFISADI WA ARDHI TATIZO KUBWA BUSANDA
Mhe. Lolesia Masele Bukwimba. BUSANDA ni miongoni mwa majimbo ya uchaguzi yanayopatikana mkoani Geita. Linasadikika kuwa moja kati ya majimbo makubwa hapa nchini na la kwanza kwa mkoa huo. Shughuli kubwa za wakazi wa jimbo hilo ni kilimo, ufugaji na biashara kwa baadhi ya maeneo kama Katoro. Busanda kuna mchanganyiko wa makabila mengi yakiwemo Wasukuma, Wazinza, Wasumbwa, Wajita, Wahaya na Wahangaza kwa uchache lakini wakazi wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXp7ahK1HXzF8cBLSX67PQHg*N4kXCW*wCSQyLL1rd-YriDXOSg6ZTSbUWSI1Ng8D4H-DnxRxy4MxGi2llkzanpB/url.png)
MTANDAO WA VODACOM KUTATUA TATIZO LA MAWASILIANO CHINI YA ARDHI
Tatizo la kupata mawasiliano ya simu kwenye vituo vya usafiri vilivyojengwa chini ya ardhi nchini Afrika Kusini limekuwa ni tatizo sugu kwa muda mrefu.Kituo maarufu cha Gautrain ambacho kimekuwa kikitumiwa na wasafiri wengi wakiwemo wanafunzi,wafanyakazi na watalii kwa muda mrefu tangia kifunguliwe mwaka 2010 kimekuwa kikikabiliwa na tatizo la mtandao ambao ulisababisha wasafiri wanaokitumia kituo hicho kushindwa kuwasiliana kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Qm6rq6ikumE/VZU8OiKJmKI/AAAAAAAHmbM/5Cj8Hm_q3UA/s72-c/unnamed%2B%25282%2529.png)
Mtandao wa Vodacom kutatua tatizo la Mawasiliano chini ya ardhi Afrika ya Kusini
![](http://1.bp.blogspot.com/-Qm6rq6ikumE/VZU8OiKJmKI/AAAAAAAHmbM/5Cj8Hm_q3UA/s640/unnamed%2B%25282%2529.png)
Kituo maarufu cha Gautrain ambacho kimekuwa kikitumiwa na wasafiri wengi wakiwemo wanafunzi,wafanyakazi na watalii kwa muda mrefu tangia kifunguliwe mwaka 2010 kimekuwa kikikabiliwa na tatizo la mtandao ambao ulisababisha wasafiri wanaokitumia kituo hicho kushindwa kuwasiliana kwa njia ya simu na barua pepe.
Kampuni ya Vodacom imejitosa...
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Sheria ya upangishaji ardhi
Sheria ya Ardhi imeweka taratibu za namna ya kufanya uhamisho wa Haki Miliki kutoka mmiliki mmoja kwenda mwingine. Uhamisho huo hupata kibali cha kamishna au ofisa mteule.
11 years ago
GPLUTII WA SHERIA BILA SHURUTI BADO NI TATIZO
Dereva bodaboda akiwa mikononi mwa polisi baada ya kuwakimbia na baadaye kunaswa. Dereva huyo akiwa chini ya ulinzi. DOGO mmoja ambaye ni dereva wa bodaboda amejikuta akimaliza siku vibaya baada ya kukiuka sheria za usalama barabarani na kuwakimbia polisi ambao walimtolea uvivu kwa kumkimbiza na baadaye kufanikiwa kumtia mikononi. (Picha zote na Gabriel… ...
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Sheria,sera ya kazi tatizo kwa waajiri
Imeelezwa kuwa waajiri kutofahamu vyema Sera ya kazi ya mwaka 2008 na Sheria ya kazi, iliyoandikwa na Shirika la Kazi Ulimwenguni(ILO), husababisha migogoro mahala pa kazi.
9 years ago
Mwananchi06 Dec
SHERIA NGOWI : Nitaisaidia Serikali kupunguza tatizo la ajira
Ni nembo iliyojizolea umaarufu mkubwa duniani. Imewahi kuvaliwa na watu maarufu wakiwamo Rais Jakaya Kikwete pamoja na rais Edgar Lungu wa Zambia, si ajabu kusikia nembo hii ikivalisha mawaziri na hata Rais mpya wa nchi hii.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania