Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheria ya upangishaji ardhi

Sheria ya Ardhi imeweka taratibu za namna ya kufanya uhamisho wa Haki Miliki kutoka mmiliki mmoja kwenda mwingine. Uhamisho huo hupata kibali cha kamishna au ofisa mteule.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Sheria ya ardhi Tandahimba tatizo

KUANZIA katikati ya miaka ya 1980 na kuendelea, nchi mbalimbali duniani zimeshuhudia mabadiliko makubwa katika mifumo yake ya umilikaji wa ardhi. Tanzania ni nchi mojawapo ambayo imepitia katika mabadiliko hayo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali isimamie sheria umiliki wa ardhi’

SERIKALI imetakiwa kusimamia sheria, taratibu na kanuni za umiliki wa ardhi ili kuondoa changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta hiyo ikiwemo uvunjifu wa amani na umwagikaji wa damu. Mkurungezi wa Taasisi ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Sheria za ardhi kikwazo kwa wakulima

Wakulima wadogo wilayani Kilosa wameonekana kukosa ufahamu wa sheria za ardhi, jambo linalowafanya kushindwa kufuatilia kwa makini masuala ya ardhi pale inapotokea migogoro katika maeneo yao.

 

11 years ago

Habarileo

Sheria yaja kudhibiti mabaraza ya ardhi

Profesa Anna TibaijukaWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema katika kudhibiti na kushughulikia malalamiko dhidi ya wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi, wako kwenye mchakato wa kuandaa kanuni zitakazodhibiti utendaji wao.

 

9 years ago

Mwananchi

Wizara ya ardhi yaandaa sheria kuwabana madalali

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesema imeanza mchakato wa kutengeneza muswada wa  Sheria ya mawakala wa ardhi  ili kuwabana madalali wa ardhi.

 

10 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kurithi ardhi kwa kutumia sheria

Kurithi ni njia ambayo ni ya zamani zaidi kuliko njia zote za upatikanaji wa ardhi. Kurithi kumeanza enzi za mababu mpaka leo kupo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kutokujua sera, sheria za ardhi huchangia migogoro

MIGOGORO mingi ya ardhi nchini inatokana na ushirikishwaji hafifu wa wananchi katika utungaji wa sera, sheria za ardhi au wakati wa kuifanyia marekebisho. Kauli hiyo ilitolewa na Mwanasheria wa Haki...

 

11 years ago

Mwananchi

LHRC yataka Katiba ije na Sheria ya Ardhi

Wananchi wa Kijiji cha Msangamkuu Mtwara vijijini mkoani hapa wameitaka Serikali kuunda Sheria ya Ardhi inayoweka wazi suala nzima la umiliki wa rasilimali hiyo kwa lengo la kupunguza migogoro katika jamii.

 

10 years ago

Habarileo

Wapindisha sheria Ardhi wakalia kuti kavu

Wiliam LukuviWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewatahadharisha watendaji wanaorubuniwa na watu wenye fedha ili kupindisha sheria kwa lengo la kuwadhulumu wananchi ardhi zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani