Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MICHEPUKO MINGINE BWANA, NUKSI TUPU!

Mpenzi msomaji wangu ni Jumatatu nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kwenye safu hii ya XXLove kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Mlio kwenye Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hongereni kwani ni moja ya nguzo kuu ya Uislamu. Sehemu kubwa ya jamii yetu kuna mambo yamekuwa yakifanyika na kuonekana kana kwamba ni mambo ya kawaida lakini ukweli si huo. Wapenzi kuchepuka imekuwa kama sehemu ya maisha yao ya kila siku hasa kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Nuksi za wapambe nuksi

Katika karne ya kumi na tisa, kulikuwa na mwandishi mmoja wa Urusi aitwaye Tolstoy. Aliandika riwaya bora sana, pia alikuwa mwanafalsafa aliyependa sana usawa, ingawa yeye mwenyewe tajiri na aliyechukia sana matumizi yoyote ya nguvu na ukatili.

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.


Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.




 

10 years ago

Mwananchi

Tibaijuka: Bwana alitoa, bwana ametwaa

>Siku moja baada ya kufukuzwa  uwaziri, Mbunge wa Muleba Kusini (CCM),  Profesa Anna Tibaijuka amewasili jimboni kwake na kusema, “Bwana alitoa na Bwana ametwaa.”

 

11 years ago

GPL

2013 NUKSI KWA MASTAA BONGO

Stori: Mwandishi Wetu
ZIKIWA zimesalia siku 15 kukatika kwa mwaka 2013 na kuukaribisha 2014, Ijumaa Wikienda linakuletea matukio kibao yaliyotafsiriwa kuwa ni nuksi katika ulimwengu wa mastaa Bongo. Marehemu Sajuki. BONGO MOVIES
Katika kipindi chote hicho, tasnia ya filamu (Bongo Movies) ilipata pigo zaidi ya mara kumi baada ya kuondokewa na mastaa wake tangu mwaka huo ulipoanza alipofariki dunia Juma Kilowoko...

 

9 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA : Simba yafuta nuksi Tanga

Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara ilianza vyema kwa klabu za Simba, Azam, Mtibwa, Kagera Sugar na Toto Africans ya Mwanza kushinda dhidi ya wapinzani wao.

 

9 years ago

Bongo5

Siasa na uchaguzi vimeleta nuksi kwenye muziki, asema rapper huyu

Cliff Mitindo

Msanii wa muziki wa Hip hop, Cliff Mitindo amesema kampeni za uchaguzi za mwaka huu zimesababisha wasanii wengi kushindwa kufikia malengo waliojiwekea.

Cliff Mitindo

Akizungumza na Bongo5 leo, Cliff amesema hali hiyo imesabisha biashara ya muziki kuyumba kutokana na wateja wao wengi ambao ni mashabiki kuwa busy na siasa.

“Mwaka huu kiukweli kutokana na masuala ya kampeni biashara imeyumba. Kwa sababu kitu ambacho kilikuwa kinasikika ni siasa tu, watu walikuwa wana ratiba za kufanya mambo yao lakini...

 

10 years ago

Vijimambo

MAAFA MINGINE NEW YORK CITY

Maafa haya yametokea New York Friday na kusabaisha watu 22 majeruhi na watu wawili kupotea hadi sasa hawajulikani walipo. Inasemekana Gas ndani ya restaurant ndiyo ilisababisha maafa ya moto huu ulioteketeza  majengo matatu  pamoja na restaurant ya Sushi Park kwenye barabara ya 2 maeneo ya East Village New York majira ya saa tisa jioni na kusababisha shughuli za maeneo hayo kusimama na watu kukimbia ovyo. Inasemekana mmiriki wa restaurant hiyo alisikia harufu ya gas dakika 15 kabla ya moto...

 

10 years ago

Mwananchi

Sugu ataka miaka mingine mitano

>Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, amesema baadhi ya majukumu aliyopewa na wananchi hajayakamilisha, hivyo anasubiri uamuzi wa chama kuhusu hatima yake ya kuteuliwa tena kuwania ubunge.

 

10 years ago

Habarileo

Fedha za maji zisitumiwe miradi mingine - Mwanri

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Aggrey MwanriSERIKALI imeagiza halmashauri nchini kutobadili matumizi ya fedha zilizotengwa kwa ajili ya miradi ya maji bila kupata ruhusa kutoka ngazi husika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani