Michepuo, tahasusi kubadilishwa
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inapitia upya michepuo na tahasusi, kwa kile kilichoelezwa ni kuwezesha ufundishaji kwenda na wakati. Michepuo na tahasusi hizo mpya za kidato cha kwanza mpaka cha nne, pia na za kidato cha tano hadi sita, zitaanza kutumika katika mwaka wa masomo 2015/16.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
‘Msiwalazimishe watoto michepuo’
WAZAZI nchini wameaswa kutowalazimisha watoto wao kuchagua michepuo ambayo hawana uwezo nayo. Wito huo ulitolewa mwishoni mwa wiki na Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Tusiime, Jonathan Kasabila, kwenye mahafali...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Pasi za kusafiria kubadilishwa
IDARA ya Uhamiaji inatarajia kubadilisha pasi za kusafiria zitakazokuwa na alama zaidi za utambuzi. Akizungumza katika banda la idara hiyo lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya kimataifa ya biashara Dar...
11 years ago
Habarileo31 Jan
Mfumo wa kuvuna misitu kubadilishwa
WIZARA ya Maliasili na Utalii imesema itabadili mfumo wa utoaji wa vibali vya uvunaji wa miti (magogo) katika misitu ya taifa nchini. Mpango wa wizara hiyo ni kutaka vibali vitolewe kwa mzunguko ili kuwanufaisha Watanzania wengi tofauti na ilivyo hivi sasa. Naibu Waziri wa wizara hiyo, Mahmoud Mgimwa aliyasema hayo hivi karibuni alipokuwa akizungumza na wapiga kura wake mjini Mafinga katika jimbo la Mufindi Kaskazini.
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
‘Kubadilishwa mitaala kunachangia kufeli’
KUBADILISHWA kwa mitaala ya kufundishia shule za Msingi na Sekondari nchini, ni miongoni mwa sababu za wanafunzi kushindwa kufanya vizuri katika mitihani yao ya kuhitimu kutokana na mkanganyiko kwenye mitaala...
11 years ago
Mwananchi17 Jul
Sheria za migodi sasa kubadilishwa nchini
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Wafugaji wapinga kijiji chao kubadilishwa
WAKAZI wa Kijiji cha Chamakweza Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, ambao wengi wao ni wafugaji wameweka kambi kwa muda usiojulikana wakipinga kijiji chao kuingizwa kwenye mipango mji. Wakizungumza kwa nyakati...
10 years ago
BBCSwahili25 Jun
Sera juu ya mateka kubadilishwa Marekani