Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pasi za kusafiria kubadilishwa

IDARA ya Uhamiaji inatarajia kubadilisha pasi za kusafiria zitakazokuwa na alama zaidi za utambuzi. Akizungumza katika banda la idara hiyo lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya kimataifa ya biashara Dar...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA MUHIMU - PASI YA KUSAFIRIA (TANZANIA PASSPORT)



Jumuiya inapenda kuwatangazia watanzania wa eneo la 'Washington State' na maeneo ya Idaho, Oregon.kujiandikisha kwa wingi wale wote wenye kuhitaji kuomba PASSPORT MPYA YA TANZANIA kama ifuatavyo:Siku ya mwisho kujiandikisha ni Tarehe 5/6/2015 (June 5th, 2015)Siku ya kuonana na Ofisa wa Uhamiaji kutoka Ubalozi wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania kwa ajili ya maombi hayo ni Tarehe 26/6/2015 - Taarifa ya pahala itatolewa rasmi..Tafadhali wasiliana na wafuatao kujiandikisha rasmi:Emil Muta -...

 

5 years ago

Michuzi

Watanzania kulipia gharama za pasi za kusafiria kwa kutumia Airtel Money


Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Idara ya Uhamiaji Kamishna Msaidizi Mwandamizi Mohammed Bakar (kati kati) na Mdhibiti wa Pasipoti Kamishna Msaidizi Dorah Luoga (kulia) wakiwa pamoja na Mkurugenzi wa Airtel Money Isaack Nchunda wakionyesha bango baada ya pamoja kusaidia ushirikiano ambapo kwa sasa Watanzania wataweza kulipia pasipoti kwa kutumia Airtel Money.
Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Idara ya Uhamiaji Kamishna Msaidizi Mwandamizi Mohammed Bakar akizungumza wakati wa kuzindua ushirikiano baina ya...

 

10 years ago

Vijimambo

AFISA WA UBALOZI BI. SWAHIBA AFANIKISHA HUDUMA YA KUONGEZA MUDA PASI ZA KUSAFIRIA SEATTLE, WA

Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Seattle wakipata picha ya kumbukumbu na Afisa wa Ubalozi Bi. Swahiba (aliyekaa kwenye kiti) alipokua Seattle jimbo la Washington kwa ajili ya kutoa huduma ya kuongeza muda kwa pasi za kusafiria za Watanzania wanaoishi jimbo hilo na majimbo jirani.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Seattle, Bwn. Mutta na familia yake wakisaidiwa na Afisa Ubalozi Bi. Swahiba jinsi ya kujaza fomu na utiaji wa alama za vidole kwenye karatasi kwa ukamilishaji wa kuongezeza muda...

 

10 years ago

Habarileo

Michepuo, tahasusi kubadilishwa

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inapitia upya michepuo na tahasusi, kwa kile kilichoelezwa ni kuwezesha ufundishaji kwenda na wakati. Michepuo na tahasusi hizo mpya za kidato cha kwanza mpaka cha nne, pia na za kidato cha tano hadi sita, zitaanza kutumika katika mwaka wa masomo 2015/16.

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi wahimizwa kutunza hati za kusafiria

WATANZANIA wametakiwa kutunza hati zao za kusafiria kwani endapo zitapotea na kuchukuliwa na wahalifu wa kimataifa itasababisha wahalifu hao kuingia kwa urahisi nchini na kufanya uhalifu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Kubadilishwa mitaala kunachangia kufeli’

KUBADILISHWA kwa mitaala ya kufundishia shule za Msingi na Sekondari nchini, ni miongoni mwa sababu za wanafunzi kushindwa kufanya vizuri katika mitihani yao ya kuhitimu kutokana na mkanganyiko kwenye mitaala...

 

11 years ago

Habarileo

Mfumo wa kuvuna misitu kubadilishwa

WIZARA ya Maliasili na Utalii imesema itabadili mfumo wa utoaji wa vibali vya uvunaji wa miti (magogo) katika misitu ya taifa nchini. Mpango wa wizara hiyo ni kutaka vibali vitolewe kwa mzunguko ili kuwanufaisha Watanzania wengi tofauti na ilivyo hivi sasa. Naibu Waziri wa wizara hiyo, Mahmoud Mgimwa aliyasema hayo hivi karibuni alipokuwa akizungumza na wapiga kura wake mjini Mafinga katika jimbo la Mufindi Kaskazini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hati ya kusafiria iliyopotea kulipiwa 200,000

IDARA ya Uhamiaji nchini imeongeza ada kwa waombaji wa hati ya kusafiria zilizopotea kutokana na kubaini kuwa wamiliki wa hati hizo wengi wao wamekuwa wakitoa taarifa za uongo ikiwa ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Sheria za migodi sasa kubadilishwa nchini

Serikali inaendelea na majadiliano na wawekezaji wa migodi mikubwa nchini ili kubadilisha baadhi ya vifungu vya sheria, kanuni na sera vilivyomo katika mikataba isiyoinufaisha nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani