Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIHIMILI MITATU ISIPOELEWANA NCHI HAIWEZI KUTAWALIKA - UTOUH

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
ALIYEKUWA Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG),Ludovick Utouh amesema mihimili mitatu iwekewe mipaka na kuangalia isiingiliane katika utendaji wake wa kazi kuruhusu kwake kuingiliana ni kufanya serikali isitawalike.
Hayo amesema leo jijini Dar es Salaam katika kupokea tuzo ya uadilifu kutoka kwa Kampuni ya Dream  Success Enterprises kutokana na kutambua umuhimu wa utendaji wake wa kazi.
Alisema kuwa mihimili mitatu isipojua mipaka yake itawaweka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lipumba agonganisha mihimili yote ya nchi

Mjadala kuhusu sakata la polisi kumpiga na kumtia mbaroni Profesa Ibrahim Lipumba jana ulikuwa mkali, lakini uliweka bayana kugongana kwa mihimili mitatu ya nchi baada ya Bunge kujadili suala hilo wakati likiwa limeshafika mahakamani

 

10 years ago

Mwananchi

Utouh: Dalili za nchi kutotawalika zinaonekana

Aliyekuwa Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh amesema mihimili mitatu ya nchi ambayo ni Bunge, Mahakama na Serikali isipofanya kazi bila kuangalia mipaka yao kwa mujibu wa sheria nchi haitatawalika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kigoda: Nchi haiwezi kuendelea bila wawekezaji

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda, amesema Tanzania haiwezi kuendelea bila wawekezaji  katika  sekta  ya  viwanda. Amesema kutokana na serikali kulitambua hilo, ndiyo sababu wizara yake  inaendelea kuhakikisha...

 

5 years ago

Michuzi

FIHIR NVUBGI; HUYU NDIYE DIWANI ALIYEANZA KUONGOZA KATA YA MSANGENI MIAKA MITATU BAADA YA NCHI TANZANIA KUPATA UHURU HADI LEO

*Hajawahi kung'atuka wala kuondolewa, afikiria kugombea tena mwaka huu, azungumzia thamani ya Mzee Msuya wilayani Mwanga

Charles James, Michuzi TV

JINA lake ni Fihir Mvungi, umri wake ni miaka 80. Ameongoza kwa miaka 55 kama Diwani wa Kata ya Msangeni iliyopo wilayani Mwanga, Kilimanjaro.

Ndio. Unaweza kusema Mvungi ndiye kiongozi wa kuchaguliwa ambaye amehudumu kwenye nafasi yake kwa muda mrefu bila kung'atuka wala kuondolewa na wananchi.

Katika mahojiano maalum ambayo amefanya na Michuzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgongano huu wa mihimili ni hatari

Wiki hii tumeshuhudia mgongano wa mihimili mitatu ya nchi uliotokana na kitendo cha Jeshi la Polisi kumpeleka mahakamani mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wa chama hicho kwa madai ya kupanga njama za kukusanyika na baadaye kukusanyika na kufanya mkutano wa hadhara bila ya kibali.

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wanapopoteza imani na mihimili ya dola — (2)

Jumapili iliyopita niligusia dhana ya wananchi kupoteza imani na mihimili ya dola. Niliigusa mihimili ya Mahakama na Bunge. Nilianza kueleza kuhusu Bunge na niliahidi kuendelea katika makala ya leo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kifanyike nini mihimili ya dola inapokinzana?

Tumeshuhudia kwa mara ya kwanza tangu nchi yetu ipate uhuru mwaka 1961, mihimili ya dola, yaani Mahakama, Bunge na Serikali ikigongana na kukinzana katika suala muhimu la kitaifa, huku ikiibua mashaka kuhusu tafsiri ya dhana ya mgawanyo wa madaraka miongoni mwa mihimili hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ulevi na uvutaji ndiyo mihimili ya uchumi wetu?

NIMEJIWA na wazo kwamba neno la tahadhari kwenye sigara na matangazo ya bidhaa hiyo lisemalo “uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako” ni la kuondoa kabisa. Sababu kwa maana...

 

10 years ago

Habarileo

Utouh awalipua wabunge

Ludovick UtouhALIYEKUWA Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amesema baadhi ya wabunge hawazijui sheria walizozitunga na hivyo kujikuta wakitoa maamuzi ambayo hupingana na sheria hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani