Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ulevi na uvutaji ndiyo mihimili ya uchumi wetu?

NIMEJIWA na wazo kwamba neno la tahadhari kwenye sigara na matangazo ya bidhaa hiyo lisemalo “uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako” ni la kuondoa kabisa. Sababu kwa maana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Shirika la michezo ndiyo mkombozi wetu

Kusimamia michezo ni gharama kubwa hata serikali za nchi zilizoendelea hazisimamii michezo moja kwa moja kwa sababu ya kuelewa suala la gharama.

 

11 years ago

Tanzania Daima

“Obutula” ni hatari kwa uchumi wetu

“OBUTULA” ni neno la Kihaya/Kinyambo/Kinyankole, maana yake ni mkopo unaolipwa kwa mali na si  kwa fedha. Mkopo wenyewe unaweza kuwa wa fedha au mali, lakini wakati wa kulipa mtu analipa...

 

10 years ago

Raia Mwema

Kila mtu akipiga ‘pushapu’, uchumi wetu utapaa

NIMESOMA kwa makini maelezo ya mwandishi Ben Saanane kwenye matoleo yaliyopita ya gazeti hili.

Ezekiel Kamwaga

 

11 years ago

Habarileo

‘Rasilimali za asili Afrika ndiyo mitaji ya uchumi’

NCHI za Afrika zinapaswa kutambua kuwa rasilimali za asili zilizoko kwenye nchi hizo, ndio mitaji yao, hivyo zina haki ya kufaidika na rasilimali kwa usawa, kama anavyofaidika mwekezaji wa kigeni anayekuja na mtaji wa fedha.

 

11 years ago

Michuzi

Umeme wa uhakika ndiyo nguzo ya maendeleo ya uchumi nchini — IPTL

 Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), iliyo chini ya Pan Africa Power Solutions (PAP), Bw. Harbinder Sethi (Kushoto), akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) maboresho yaaliyofanyika katika kiwanda hicho tangu PAP ilipochukua uongozi wa IPTL. Wakishuhudia ni baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya IPTL. 
 Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), iliyo chini ya Pan Africa Power...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgongano huu wa mihimili ni hatari

Wiki hii tumeshuhudia mgongano wa mihimili mitatu ya nchi uliotokana na kitendo cha Jeshi la Polisi kumpeleka mahakamani mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wa chama hicho kwa madai ya kupanga njama za kukusanyika na baadaye kukusanyika na kufanya mkutano wa hadhara bila ya kibali.

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba agonganisha mihimili yote ya nchi

Mjadala kuhusu sakata la polisi kumpiga na kumtia mbaroni Profesa Ibrahim Lipumba jana ulikuwa mkali, lakini uliweka bayana kugongana kwa mihimili mitatu ya nchi baada ya Bunge kujadili suala hilo wakati likiwa limeshafika mahakamani

 

10 years ago

Mwananchi

Kifanyike nini mihimili ya dola inapokinzana?

Tumeshuhudia kwa mara ya kwanza tangu nchi yetu ipate uhuru mwaka 1961, mihimili ya dola, yaani Mahakama, Bunge na Serikali ikigongana na kukinzana katika suala muhimu la kitaifa, huku ikiibua mashaka kuhusu tafsiri ya dhana ya mgawanyo wa madaraka miongoni mwa mihimili hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wanapopoteza imani na mihimili ya dola — (2)

Jumapili iliyopita niligusia dhana ya wananchi kupoteza imani na mihimili ya dola. Niliigusa mihimili ya Mahakama na Bunge. Nilianza kueleza kuhusu Bunge na niliahidi kuendelea katika makala ya leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani