Miili ya raia wa A Kusini yarejeshwa
Miili ya raia wa Afrika Kusini waliokufa Nigeria miezi miwili iliyopita, yarejeshwa nyumbani
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili26 Feb
Miili 5 yapatikana mgodini A. Kusini
Miili ya wachimba migodi haramu watano, imepatikana karibu na mgodi ambao ulikuwa hautumiki nchini Afrika Kusini.
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Miili 8 yapatikana mgodini A. Kusini
Waokozi nchini Afrika Kusini wanasema kuwa wamepata miili 8 ndani ya mgodi walimokuwa wamekwama wachimba migodi.
10 years ago
GPL
RAIA WA MAREKANI NA A.KUSINI WAUAWA
Raia wa marekani Luke Somers na mwenzak wa Afrika kusini Pierre Korkie wameuawa na wapiganaji wa kundi la Alqaeda nchini Yemen. Mwaandishi wa Mmarekani, Luke Somers na mwalimu raia wa Afrika Kusini, Pierre Korkie wameuwawa na wapiganaji wa Al-Qaeda nchini Yemen katika juhudi za kuwaokoa. Oparesheni hiyo ya kuwaokoa iliongozwa na vikosi maaulum vya Marekani na Yemen katika jimbo la kusini la Shabwa. Mwalimu raia wa Afrika...
11 years ago
BBCSwahili23 Dec
UN: Hatutawaacha raia Sudan Kusini
Kikosi cha Umoja wa Mataifa kilichopo Sudan Kusini kimesema hawatawaacha raia baada ya wiki ya mapigano ya kikabila.
11 years ago
BBCSwahili11 Jan
Afueni kwa Raia wa S.Kusini UG
Huku mzozo wa Sudan Kusini ukizidi kutokota, na mazungumzo ya amani mjini Addis Ababa kwenda mwendo wa kobe, maelfu ya wakimbizi wanaendelea kuvuka kuingia Uganda
10 years ago
BBCSwahili11 May
UN:Raia hawana msaada wa chakula S Kusini
UN inasema kuwa mamia ya maelfu ya raia hawana msaada wa kuokoa maisha yao kufuatia kuondolewa kwa msaada wa kibinaadamu
10 years ago
BBCSwahili20 Apr
Zwelithini kutuliza raia Afrika Kusini
Mfalme Goodwill Zwelithini kutoa wito wa kusitishwa kwa ghasia kufuatia kuongezeka kwa mashambulio ya kibaguzi Afrika Kusini
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
ICRC:Raia wanahitaji chakula S Kusini
Kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu ICRC inasema kuwa maelfu ya watu nchini Sudan Kusini wanahitaji pakubwa chakula, maji na huduma za matibabu.
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Raia wa Uingereza auawa Sudan Kusini
Muingereza mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji mkuu wa Juba nchini Sudan Kusini.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania