Miji mikubwa na kukithiri na uchafu
UBORESHAJI hafifu wa mitaro ya maji taka na taka ngumu katika barabara za miji na majiji nchini, zimebainika kuchangia kwa kiasi kikubwa kuziba kwa mitaro hiyo, madaraja na kuharibu kingo za mito hali inayopelekea kuwepo kwa matokeo mabaya ya mafuriko mvua zinaponyesha.
Uchunguzi unaonyesha kwamba uzalishaji wa taka katika miji na majiji nchini hauendi sambamba na kuzitunza taka hizo, kwani katika maeneo mengi mijini, taka zimekuwa zikizagaa licha ya kuwa taka hizo zinageuzwa kuwa...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi09 Jul
AFRIKA KUSINI YAKABILIWA NA TABIANCHI KWENYE MIJI YAKE MIKUBWA
![DSC_1900](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/DSC_1900.jpg)
Na Andrew Chale, Modewjiblog[Paris, Ufaransa] Watafiti kutoka chuo kikuu cha KwaZulu-Natal, Durban nchini Afrika Kusini...
10 years ago
Dewji Blog09 Jul
Afrika Kusini yakabiliana na tabianchi kwenye miji yake mikubwa
Mkufunzi na mtafiti, Daktari John Odindi, kutoka chuo kikuu cha KwaZulu-Natal, Durban nchini Afrika Kusini (kulia) katika mahojiano maalum na mwandishi wa Habari mwandamizi wa blog ya modewjiblog.com, Andrew Chale kwenye mkutano wa wanasayansi juu ya mabadiliko ya tabianchi, unaoendelea kwenye ukumbi wa Makao makuu ya UNESCO, Paris, Ufaransa (Picha na Mpiga picha maalum).
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[Paris, Ufaransa] Watafiti kutoka chuo kikuu cha KwaZulu-Natal, Durban nchini Afrika...
10 years ago
Mtanzania16 Dec
Ni mtikisiko * Ukawa watesa miji mikubwa, ngome za CCM * Lowassa atamba
Na Waandishi Wetu, Dar na mikoani,
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetikiswa na vyama vinavyounda Umoja ya Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwenye matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji.
Katika uchaguzi huo uliofanyika nchini juzi, matokeo yanaonyesha kupanda kwa vyama vya upinzani hasa kwa kushinda maeneo yaliyokuwa yakiongozwa na CCM hali iliyokitikisa vilivyo chama hicho tawala.
Kutangazwa huko kwa matokeo hayo kunakuja baada ya kukamilika kwa uchaguzi huo katika baadhi ya...
10 years ago
MichuziUONGOZI WA SOKO LA MCHIKICHINI -ILALA WALALAMIKIA KUKITHIRI KWA UCHAFU SOKO LA MCHIKICHINI
Katibu wa soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam John Andrew akionyesha takataka zilivyo lundikana katika eneo la soko la Mchikichini-Ilala baada...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Serikali yashambuliwa kukithiri migogoro ya ardhi
MBUNGE wa Viti Maalumu, Moza Abeid (CUF), ameishambulia serikali na kueleza kuwa migogoro mingi ya ardhi ambayo inaonekana kupamba moto nchini inachangiwa kwa kiasi kikubwa na serikali. Moza alisema kuwa...
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Kukithiri rushwa nchini ni tatizo la mfumo
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Serikali ihojiwe kukithiri rushwa nchini- Raawu
9 years ago
StarTV29 Dec
Wilaya ya Siha Kilimanjaro yatajwa kukithiri Ukatili Wa Kijinsia
Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro inatajwa kuwa miongoni mwa wilaya zilizokithiri kwa ukatili wa kijinsia hususani kwa wasichana walio chini ya miaka 18 kutokana na baadhi ya Wazazi kuthamini fedha katika utoaji mahari kwa wasichana kuliko kujali utu.
Kwa mujibu wa takwimu za shirika la Kwieco kwa mwaka 2015, wilaya hiyo inaongoza kwa kuwa na asilimia 19 ya matukio yaliyothamini zaidi mahari kuliko utu, ikifuatiwa na wilaya ya Rombo yenye asilimia 13 wilaya nyingine zikiwa chini ya asilimia...
10 years ago
Mtanzania11 Sep
Waziri Simba akiri ngono kukithiri shule za msingi
![Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Sofia-Simba.jpg)
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba
SHABANI MATUTU NA AZIZA MASOUD
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, amesema utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS), kuhusu wanafunzi wa shule za msingi kujihusisha na ngono una ukweli.
Simba ameyasema hayo baada ya gazeti hili kutoa taarifa kuhusu matokeo ya utafiti uliofanywa na MUHAS kupitia mradi wa PREPARE yaliyotolewa wiki iliyopita ili kubaini vijana...