MIKONO SPEAKERS YAANDAA SEMINA MAALUM YA UONGOZI BORA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ski7V5OlJdE/U5lyc5P70wI/AAAAAAACjSY/tybzSLTxAx8/s72-c/MMGN1630.jpg)
Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Kimataifa ya Brian Tracy,Brian Tracy kutoka nchini Marekani,akizungumza jambo mapema leo asubuhi katika moja ya ukumbi wa Serena Hotel,jijini Dar kuhusiana na semina maalum ya uongozi bora ilioandaliwa na Mikono Speakers iliyomuhusisha nguli huyo wa masuala ya uongozi na kutoka nchini Marekani na Azim Jamal pichani kulia ambaye ni mwanzilishi na Mkurugenzi wa Corporate Sufi Worldwide Inc. kampuni inayojihusisha na kusaidia wadau na makampuni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-NIBrCB53poY/U5tE_ToYFkI/AAAAAAAFqbw/bTDg0ibw5o4/s72-c/_1.jpg)
WENGI WAJITOKEZA KWENYE SEMINA MAALUM YA UONGOZI BORA ILIYOANDALIWA NA MIKONO SPEAKERS
![](http://1.bp.blogspot.com/-NIBrCB53poY/U5tE_ToYFkI/AAAAAAAFqbw/bTDg0ibw5o4/s1600/_1.jpg)
11 years ago
Michuzi07 May
Visit Mikono Speakers at BuildExpo Africa 2014
Leadership seminar are quickly selling out...
Visit Mikono Speakers booth at the BuildExpo Africa 2014 at Mlimani City Conference Centre from 8th to 10th May 2014 and get your ticket at 15% discount. Do not miss out on this once-in-a-lifetime opportunity to witness the legendary Brian Tracy and Azim Jamal live in Dar Es Salaam For details: Call 0717 109 362 or 0784 636...
11 years ago
Michuzi13 Feb
The Love & Dine Valentine Dinner by Mikono Speakers at Peacock Hotel
Get your ticket today. Call 0717 109...
10 years ago
VijimamboOFISI YA MAKAMU WA RAIS YAANDAA SEMINA YA MABADILIKO WA TABIA NCHI KWA WADAU
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6RZjZhMK4pg/VABz0TBR-RI/AAAAAAACpME/6JpRMEcV62c/s72-c/Mayingu%2Bspeech2.jpg)
PSPF YAANDAA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-6RZjZhMK4pg/VABz0TBR-RI/AAAAAAACpME/6JpRMEcV62c/s1600/Mayingu%2Bspeech2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-LMTvnhucRys/VABz5gnYmPI/AAAAAAACpMs/VoddFfvTRHE/s1600/constatina%2Bmartin%2Bnote.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZF4l58kRCvc/VAB0DYUT9II/AAAAAAACpM8/WcvFtpJ4VcM/s1600/cross%2Bsection.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NQs0dYxvfMVkQ2yIfjgTl3MkAcmHiLnrh3tYDUb1VsdlHru9yc81rkGYXnxDER9lvIV*Iyom8rf907bHX0sCWyPWLMkN2nzp/1.jpg)
AIRTEL FURSA YAANDAA SEMINA YA DARAJA LA MAFANIKIO KWA VIJANA MJINI MTWARA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-rg1uE1fTLQI/VZD_UuFronI/AAAAAAAHlfI/w1eXi298Cvw/s72-c/1.jpg)
TANAPA YAANDAA SEMINA YA WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUKUZA UTALII JIJINI MWANZA
![](http://1.bp.blogspot.com/-rg1uE1fTLQI/VZD_UuFronI/AAAAAAAHlfI/w1eXi298Cvw/s640/1.jpg)
Katika ufunguzi wa Warsha hiyo,Ndugu Kijazi alisema kuwa, Kauli mbiu ya Mkutano wa mwaka...
9 years ago
Dewji Blog01 Oct
Taasisi ya UONGOZI yaandaa warsha ya wadau wa Serikali katika usimamizi wa rasilimali za mafuta na gesi asilia
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Bw. Johansen Bukwali akisoma hotuba ya ufunguzi wa warsha ya usimamizi wa rasilimali za mafuta na gesi asilia kwa niaba ya mgeni rasmi Waziri wa Nchi -TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia katika ukumbi wa hoteli ya NAF Beach mkoani Mtwara.
Mkuu wa Idara ya Utafiti na Sera kutoka Taasisi ya UONGOZI Bw. Dennis Rweyemamu akizungumza kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI Profesa Joseph Semboja wakati wa warsha ya usimamizi wa rasilimali za mafuta na...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10