Milovan akubali kuifundisha Yanga
![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXvbZGP*Nhqa5CUoG1NI3lGjL5VxB0y6xxhJ-2x5cpxto0wM38J-XCr6AaTQwygTpPzBZoIlMalCuw*LZFJrCh6g/milovan.jpg?width=650)
Kocha wa zamani wa Simba, Milovan Cirkovic. Na Mwandishi Wetu KOCHA wa zamani wa Simba, Milovan Cirkovic amesema yuko tayari kuinoa Yanga kama watamuita achukue nafasi ya Ernie Brandts. Yanga iko katika mchakato wa kusaka kocha mpya baada ya kumfuta kazi Brandts baada ya kikosi chake kulala kwa mabao 3-1 dhidi ya Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe. Akizungumza moja kwa moja kutoka Cacak, Serbia, Milovan alisema hajapata...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Mliberia atua Yanga, akubali changamoto
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcIezKNj4s2GwZTnTt68yQJJ*Uzkw-R0ib41qljU1RkC28nN30359nILZRpLgHB6fFl6205cS2lVmu4hg6FvPnoc/MILOVAN.jpg?width=650)
Milovan awa kocha wa timu ya taifa
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Jose Mourinho ataka kuifundisha Arsenal
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho amesema hana mpango wa kuondoka jiji la London na kama akiondoka katika klabu hiyo basi atajiunga na klabu ya Arsenal ya jijini humo.
Kocha huyo bado ana imani ya kuendelea kuifundisha Chelsea kwa muda mrefu, japokuwa klabu hiyo imeanza vibaya katika michuano ya Ligi Kuu nchini England, hata hivyo, anaamini kuwa anaweza kuwa kocha wa Arsenal baada ya Arsene Wenger kuondoka.
“Ngoja niweke wazi, ipo siku nitakuja kuondoka Chelsea na kama...
9 years ago
Mtanzania20 Nov
LeRoy ajiuzulu kuifundisha Congo Brazzaville
BRAZZAVILLE, CONGO
KOCHA raia wa nchini Ufaransa, Claude LeRoy, aliyekuwa mkufunzi wa kikosi cha timu ya taifa ya Congo Brazzaville, amejiuzulu kuifundisha timu hiyo.
LeRoy, mwenye umri wa miaka 67, aliuambia uongozi wa soka wa timu kwamba anatarajia kuacha kuifundisha timu hiyo kutokana na kubanwa na majukumu mengine.
Hivyo kocha huyo ameamua kufanya maamuzi hayo mara baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya makundi ya kusaka tiketi ya kombe la dunia baada ya kuifunga Ethiopia mabao...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBAsa3wqSreV7LMnKCLTMBhwKBN-mk6YxNLqNz77q23RnFaSCIX*4i2YwI3g5ew3lCLHR7rqCKwnWWfM4JjEuzUz/LUIS.jpg)
LUIS ENRIQUE ASAINI MIAKA 2 KUIFUNDISHA BARCELONA
9 years ago
Bongo519 Nov
Claude LeRoy ajiuzulu kuifundisha timu ya taifa ya Congo Brazaville
Aliyekua mkufunzi wa kikosi cha timu ya taifa ya Congo Brazzaville, Kocha mfaransa Claude LeRoy amejiuzulu kuifundisha timu hiyo.
LeRoy mwenye umri wa 67 aliuambia uongozi wa soka wa kocha wa Congo uamuzi huo muda mfupi baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya makundi ya kusaka tiketi ya kombe la dunia kwa kuifunga Ethiopia kwa mabao 2-1.
Kuna tetesi huenda kocha huyu akarudi kuifundisha timu ya taifa ya Cameroon, ambayo imemtimua kocha wake Volker Finke.
LeRoy,ana historia ya kuwa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-nNyWxeaBYtA/VYrkn4D1FpI/AAAAAAAHjmA/vZFVmHluLr8/s72-c/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
MAYANJA ATUA TANGA, ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUIFUNDISHA COASTAL UNION
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmWKX8GKoMmXvns0Aey6n2rYxL2cH*N1SCOwkJ0s-lLclVr6kJOMjG-VaN3QSsalEGdFHBZpmfzSYwCN1rfhlyxvBaUc3fFW/hires177995507manchesterunitedmanagerdavidmoyesandchelsea_crop_exact.jpg?width=650)
MOURINHO YUPO TAYARI KUIFUNDISHA UNITED HATA LEO KAMA MOYES AKIFUKUZWA
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Nchimbi akubali yaishe
ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa yeye na mawaziri wenzake watatu walikubali kuwajibika kutokana na makosa yaliyofanywa na askari wakati wa kutekeleza Operesheni Tokomeza Ujangili....