Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miradi kukabili foleni yasuasua

>Kasi ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kupunguza msongamano wa magari jijini Dar es Salaam inaonekana si ya kuridhisha licha ya ukubwa wa tatizo lenyewe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanroads kukabili foleni

Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Dar es Salaam, umesema upo kwenye mikakakati ya kutekeleza mradi wa kuboresha vituo vya daladala kwenye barabara kuu kwa lengo la kupunguza foleni jijini.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge wa Busega kukabili wanaopora fedha za miradi

Dk Titus KamaniMBUNGE wa jimbo la Busega mkoani Simiyu, Dk Titus Kamani amesema hatavumilia watu wanaokula fedha za miradi ya maendeleo jimboni humo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yasuasua kielimu

IDADI ya wanafunzi wanaopata elimu ya juu nchini ni ya chini kuliko nchi nyingi zilizo Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Baraka...

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya wafanyakazi 14 benki ya Exim yasuasua

KESI inayowakabili wafanyakazi 14 wa benki ya Exim tawi la jijini Arusha kwa tuhuma za kuibia benki hiyo zaidi ya Sh bilioni 7.6, inaendelea kusuasua.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yasuasua ufungaji mitambo ya ebola

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii bado haijafunga vifaa vya kupimia joto ili kubaini dalili za awali za wagonjwa wa ebola kwenye viwanja vya ndege licha ya ugonjwa huo kuenea kwa kasi.

 

9 years ago

StarTV

Biashara ya Samaki Soko la Feri Mtwara yasuasua

Wafanyabiashara wadogo wadogo wa Samaki katika Soko la Feri mkoani Mtwara wamelalamikia kukosekana kwa samaki kunakotokana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Hali hii inasababisha Samaki kupanda bei na kuwaathiri wafanyabiashara hao kutokana na mtaji wa kuendeshea Biashara kuwa mdogo na hivyo baadhi yao kutishia kuachana na biashara hiyo kutokana na kukosekana kwa faida.

Bi. Zuena Franciss ni Mmoja wa wafanyabiashara ndogo ndogo anayenunua Samaki katika soko la feri la Mtwara nabaadaye kukaanga...

 

9 years ago

Mwananchi

Tanzania yasuasua utekelezaji mapendekezo haki za binadamu

Tanzania imeshindwa kutekeleza kwa kiasi kikubwa mapendekezo zaidi ya 100 ya Haki za Binadamu yaliyokubalika kiulimwengu.

 

10 years ago

StarTV

Matumizi Nishati ya Umeme, idadi ya watumiaji bado yasuasua.

Na Magreth Tengule,

Rombo.

 

Tanzania imesalia kuwa miongoni mwa nchi chache barani Afrika ambazo zina idadi ndogo ya watumiaji wa nishati ya umeme.

 

Kwa mujibu wa takwimu za Serikali za mara kwa mara ni asilimia 17 pekee ya wananchi wote wanaofikiwa na huduma hiyo.

 

Katika kuhakikisha huduma ya umeme inazidi kuwafikia watu wengi hasa wale wanaoishi maeneo ya pembezoni, Chama cha Mapinduzi CCM kimesema kitazidi kuibana Serikali ielekeze nguvu kwenye utekelezaji wa mradi wa umeme vijijini...

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa maeneo ya miradi ya maji watakiwa kutozembea kujadili maendeleo ya miradi

Kiongozi wa ziara ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Amina Makilagi, akieleza jambo wakati alipowasili kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Lindi tayari kukagua miradi ya maji.Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Lindi Nassor Himid na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lindi Mathei Makwinya.Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji waliotembelea mkoa huo kukagua baadhi ya miradi ya Maji iliyopo mkoani humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani