Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mishahara ya wakuu wa umma yakatwa ZIM

Wakuu wa makampuni ya umma nchini Zimbabwe watakatwa mishahara baada ya kubainika kwa kashfa ya malipo yasiyo halali

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Yashauriwa mishahara watumishi wa umma kuongezwa

Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango nchini, Dk Philip MpangoKATIBU Mtendaji wa Tume ya Mipango nchini, Dk Philip Mpango ameishauri kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuisisitiza serikali kuongeza mishahara ya watumishi wa umma na kupunguza kodi inayokatwa kwenye mishahara hiyo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali: Mishahara ya watumishi umma kulipwa kupitia akaunti

1503815_296860763849492_1887980119363456138_n

Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.

10702052_296860857182816_5636994517852994245_n

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO

Serikali imeagiza watumishi wote wa umma walipwe mishahara moja kwa moja kupitia akaunti zao sahihi za benki ambazo zitatumika kupitishia mishahara yao.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba alipokuwa akiongea na waandishi wa habari ofisi za Hazina leo jijini Dar es salaam.

“Mishahara ya Watumishi wote wa Serikali, wakala na taasisi za umma italipwa moja kwa moja kupitia akaunti zao za banki” alisema...

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Kodi ya mishahara yapungua kiduchu, mishahara juu

>Kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi nchini kutaka Kodi ya Mshahara (Paye), ipunguzwe hadi chini ya asilimia 10 kimekwama baada ya Serikali kupunguza kodi hiyo kwa asilimia moja.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA WAKUU WA UTUMISHI WA UMMA WA JUMUIYA YA MADOLA WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

1Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Jumuiya ya Madola Barani Afraik jana (Jumatatu Julai 13, 2015) Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa siku 3 unatarajia kufungwa Jumatano Julai 15, 2015. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe. Celina Kombani na Naibu Katibu Mkuu wa Jumiya hiyo, Bi. Josephine Ojiambo. 2Naibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof....

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WA UMMA WA NCHI ZA AFRIKA WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA K U FUNGULIWA LEO

om1Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akiongoza kikao cha maandalizi ya Mkutano wa  kumi na mbili (12) wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa nchi za Afrika Wanachama wa Jumuiya ya Madola  utakaofunguliwa leoom2Taswira ya moja ya eneo mkutano wa Wakuu wa Utumishi Barani Afrika utakapofanyikaom3
Katibu Wakuu na watendaji mbalimbali wakijadili wakati wa kikao: kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu . Dkt. Florens Turuka, akifuatiwa na Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimneti ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua mkutano wa wakuu wa Utumishi wa Umma wa jumuiya ya madola jijini Dar es Salaam

1.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Jumuiya ya Madola Barani Afraik jana (Jumatatu Julai 13, 2015) Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa siku 3 unatarajia kufungwa Jumatano Julai 15, 2015. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe. Celina Kombani na Naibu Katibu Mkuu wa Jumiya hiyo, Bi. Josephine Ojiambo.

2.

Naibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof....

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WA UMMA WA NCHI ZA AFRIKA WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA KUFUNGULIWA LEO DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akiongoza kikao cha maandalizi ya Mkutano wa  kumi na mbili (12) wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa nchi za Afrika Wanachama wa Jumuiya ya Madola  utakaofunguliwa leo katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre jijini  Dar es salaam Katibu Wakuu na watendaji mbalimbali wakijadili wakati wa kikao: kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu . Dkt. Florens Turuka, akifuatiwa na Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimneti ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Nchi za Afrika wanachama wa Jumuiya ya Madola kufanyika jijini Dar es salaam

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais , Menejimenti ya Umma Bwana Hab Mkwizu (katikati) akizungumza na wanahabari jana (leo) jijini Dar es salaam , juu ya Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Nchi za Afrika wanachama wa Jumuiya ya Madola utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 13 hadi 15 mwezi huu. Mkutano huo unatarajiwa kufunguliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Wengine ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasilano Serikalini Florence Temba (kushoto) Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali watu...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika waendelea jijini Dar es Salaam

 Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Sera ,Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathias Kabunduguru, Prof. Samuel Wangwe, Katibu Mtendaji -Tume ya Mipango Dkt. Phillip Mpango na wajumbe wengine wakifuatilia mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola barani Afrika. Katibu Mkuu Kiongozi wa Uganda Bw. John Mitala akiwasilisha mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaoendelea jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani