Misri yatunga sheria kali dhidi ya Ugaidi
Sheria mpya za kupambana na ugaidi nchini Misri zimezua utata kuwa nia yake ni kukandamiza uhuru wala sio kukabiliana na maasi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili27 Dec
China yapitishia sheria kali dhidi ya Ugaidi
Bunge la China limepitisha sheria ya kwanza katika taifa hilo inayolenga kukabiliana na tishio linaloongezeka la ugaidi.
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Rais wa Misri atetea sheria kali za usalama
Rais wa Misri Abdul Fattah al-Sisi ametetea sheria kali za kiusalama nchini humo na kusema taifa lake bado linadumisha demokrasia.
11 years ago
BBCSwahili26 Feb
Watu 26 kunyongwa Misri kwa Ugaidi
Ni baada ya mahakama kuwapata na hatia ya kuunda kundi la kigaidi kushambulia meli kwenye kito cha Suez
10 years ago
BBCSwahili30 Jun
Al Sisi aapa kuzima ugaidi Misri
Rais Abdul Fattah al Sisi amesema ipo haja kurekebisha sheria kukabiliana na ugaidi, baada ya mwendesha mashtaka kuuawa.
10 years ago
Habarileo24 Mar
Vita dhidi ya ugaidi kuimarishwa
LICHA ya jeshi la polisi kuwakamata watuhumiwa 84 wa matukio ya kigaidi nchini na 17 kati yao kufunguliwa mashitaka, Rais Jakaya Kikwete amelitaka jeshi hilo kuendelea kujipanga kukabiliana na aina yoyote ya tishio la kigaidi, huku akisema Serikali itaendelea kuliwezesha katika kukabiliana nao.
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Ufaransa na mikakati dhidi ya Ugaidi
Ufaransa imesema imedhamiria kutokomeza makundi ya wapiganaji wa Kiislam, kufuatia shambulio la Kigaidi la mwishoni mwa juma.
11 years ago
BBCSwahili25 Apr
Vita vya Kenya dhidi ya ugaidi
Serikali ya Kenya imeahidi kuendeleza juhudi za kuwawinda magaidi wanaondelea kusababisha usalama mdogo nchini humo.
5 years ago
BBCSwahili28 Jun
Je vita 'dhidi ya ugaidi' vitawahi kuitaisha?
Jitihada zilizwekwa bado hazijaweza kufanikiwa kukabiliana na vitisho vya ugaidi vinavyoendelea duniani kote.
10 years ago
BBCSwahili21 Sep
Je,Kenya inashinda vita dhidi ya ugaidi?
Kikosi cha kupambana na ugaidi kinadaiwa kunyanyasa na kuuwa vijana huku wengine wakitoweka mikononi mwa polisi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania