Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miss Uganda 2014 Leah Kalanguka alikuwa mkulima!

Mkuliwa wa uyoga na mfugaji wa kuku ameteuliwa kuwa Miss Uganda 2014 kufuatia mabadiliko katika shindano hilo ambalo kwa sasa linafanya kampeni kuhusu kilimo. Leah Kalanguka, 23, aliwashinda warembo wengine 19 kwenye fainali hizo ambapo washiriki walitakiwa kukamua ng’ombe na kufanya kazi na kondoo na mbuzi. Waandaji wa shindano hilo walishirikiana na jeshi la Uganda […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MPIGIE KURA MISS TANZANIA 2013 KATIKA SHINDANO LA MISS WORLD 2014


VOTE FOR MISS TANZANIA-MISS WORLDVOTING HAS OPENED!You can now register your votes for your Favourite contestants on the Miss World App, and its FREE!Download the Miss World App on iOS & Android now and you can vote for your TOP THREE contestants in the competition. 
Voting will be open for the next 25 days, closing during the final show.Download the App Here –http://www.missworld.com/TheCompetition/TheMissWorldMobileApp/For more info on the vote Click here...

 

11 years ago

Dewji Blog

Miss Ethiopia ndiye Miss Africa Usa 2014, Joy Kalemera awa wanne

Miss Ethiopia akifurahia taji la kuwa Miss Africa katika mashindano hayo yaliyofanyika Rockville, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Mshiriki wa Tanzania, Joy Kalemera ameshika nafasi ya 4 kati ya washiriki 20 walioingia fainali hizo.

IMG_2395

Washiriki watano waliopata nafasi ya kuingia tano bora kutoka kushoto ni Miss Tanzania aliyeshika na 4, Miss Uganda aliyeshika na 2, Miss Ethiopia aliyeshinda,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Miss Afrika Kusini awa Miss World 2014

Miss South Africa Rolene Strauss ameibuka mrembo wa dunia wa mashindano ya Miss World 2014, kwa kuwabwaga wenzake zaidi ya 120

 

9 years ago

Bongo5

Izzo Bizness: Mangwair alikuwa ‘genius’, alikuwa na uwezo wa kuandika na kumaliza kurekodi album nzima siku moja

Albert Mangwair alikuwa ni rapper genius, kwa mujibu wa Izzo Bizness. Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky, Izzo amesema alifahamiana na Ngwair tangu yuko Mbeya kabla ya kuja kumshirikisha kwenye ngoma yake ‘Ball Player’ wakiwa na Quick Rocka. “Ngwair ni mtu ambaye nilisema angeamua, angekuja kuvunja historia ya muziki labda Tanzania,” anasema Izzo. “Alikuwa […]

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MISS SOUTH AFRICA Rolene STRAUSS ASHINDA TAJI LA MISS WORLD 2014 USIKU HUU JIJINI LONDON, UINGEREZA

Warembo walioshiriki Fainali za 64 za shindano la urembo la Miss World lililofanyika usiku huu jijini London ambapo 
Miss World 2013 Megan Young tayari amemvisha Miss South Africa Rolene STRAUSS taji  la ushindi wa mwaka 2014 katika ukumbi wa mikutano na maonesho wa ExCel London Exhibition and Convention Centre. Jumla ya washiriki 125 walipanda jukwaani na kushindania taji hilo, akiwemo mrembo Happiness Watimanywa wa Tanzania. Fainali hizo zilioneshwa live hapa hapa Globu ya Jamii....angalia...

 

10 years ago

Bongo5

Sarkodie wa Ghana achukua tuzo ya Headies Awards 2014 ambayo Diamond alikuwa akishindania

Jumapili Dec.14 nchini Nigeria zimetolewa tuzo za Headies Awards 2014 ambazo msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz alikuwa akishindania, lakini safari hii haikuwa bahati yetu kwasababu hakufanikiwa kushinda. Sarkodie wa Ghana ndiye aliyeshinda kipengele cha BEST AFRICAN ARTISTE ambacho Diamond alikuwa akishindania. Wasanii wengine waliokuwa wakiwania kipengele hicho ni Mafikizolo (South Africa) pamoja na R2Bees (Ghana). […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Nani kutwaa Taji la Miss Tabata 2014 leo Tarehe 06/06/2014?

 Husna Ibrahim  Evodia Mdemu  Happiness Wilson  Lightness Olomi  Fatma Hussein  Marium Shwaib  Ramta Mkadara  Angela Kashaga  Ambasia Maliy  10.Nuru Omary  Mary Henry  Najma Charles  Faudhia Feka  .Lydia Charle  .Lydia Charle Mary Kazula

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani