Mitandao yatumiwa kushambulia
Christopher Todd amekiri kuwatuma picha ya kudhalilisha wazazi wa mpenzi wake wa zamani
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Mar
Mabomu mtawanyiko yatumiwa Libya
Human Rights Watch yasema Libya yatumia mabomu mtawanyiko ambayo yaumiza wasiokusudiwa
10 years ago
BBCSwahili13 Oct
Facebook yatumiwa kuwatafuta mahujaji Mali
Mwanamke mmoja wa Mali amefungua ukurasa wa mtandao wa facebook kwa lengo la kusaidia kupatikana kwa watu 200 kutoka Mali ambao wametoweka baada ya mkasa wa mahujaji nchini Saudia.
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Sanamu ya Tembo yatumiwa katika kampeni
Masanii wa sanaa za ufundi na muziki Paulo Ndunguru ametumia takribani dola za kimarekani elfu kumi kutengeneza sanamu ya Tembo.
11 years ago
BBCSwahili17 Mar
Al Shabaab wadai kushambulia AU
Kundi hilo linasema kuwa limeshambulia msafara wa magari ya kikosi cha Muungano wa Afrika, karibu na mji mkuu Mogadishu na kuwaua wanajeshi 7
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Hans: Tutaendelea kushambulia
>Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amesema wataendelea kucheza soka la kushambulia muda wote katika pambano la marudiano dhidi ya Komoronize litakalofanyika ugenini Moroni, Comoro.
11 years ago
BBCSwahili28 May
Al Shabaab wakiri kushambulia Djibouti
Al Shabaab wamekiri kushambulia mgahawa unaotembelewa na wageni nchini Djibouti. Katika shambulio la awali watatu walikufa.
11 years ago
BBCSwahili16 Jun
Al Shabaab lakiri kushambulia Kenya
Kundi la wapiganaji wa Al Shabaab nchini Somalia, limekiri kufanya mashambulizi katika eneo la Mpeketoni karibu na Lamu, Pwani ya Kenya.
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
BAVICHA kushambulia mikoa sita
BARAZA la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), kesho linatarajiwa kuanza operesheni ya kurejesha haki na usawa kwa Watanzania ambao wamenyonywa na kukandamizwa muda mrefu na utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)....
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Marekani kutuma jeshi kushambulia IS
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Ash Carter amesema jeshi maalum la Marekani litatumwa kwenda nchini Iraq kupambana na wapiganaji wa Islamic State katika nchi za Iraq na Syria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania