Mitindo ilivyonoga A.Kusini
Kila mwezi wa Februari , maelfu ya watu Afrika Kusini huvaa mavazi yanayovutia na kufululiza moja kwa moja hadi kwa tukio la mashindano ya mavazi na mtitindo huko J&B Met, jijini Cape Town.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziLady in red 2014 fashion show ilivyonoga
Kwa picha zaidi za Habari5 Blog BOFYA HAPA Pia BOFYA HAPA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-oadWZTqEn2A/Uxtzsbe--fI/AAAAAAAFSMM/dY9jhgt5Y6U/s72-c/2.jpg)
HAFLA YA SIKU YA WANAWAKE ILIVYONOGA JIJINI DAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-oadWZTqEn2A/Uxtzsbe--fI/AAAAAAAFSMM/dY9jhgt5Y6U/s1600/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-d3s_8ZW4e7E/Uxt09EUwQkI/AAAAAAAFSNk/aQHTt_T2rP4/s1600/3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-RykRBBsmMSs/Uxt4EAB7F8I/AAAAAAAFSRs/yZpNXcX09CE/s1600/6.jpg)
9 years ago
MichuziMichezo katika Shamrashamra za Tamasha la siku ya Walimu Duniani ilivyonoga Zanzibar
Na Rahma Khamis -Maelezo, Zanzibar Waalimu Nchini wametakiwa kuwapa fursa na kuwahamasisha wanafunzi wa Skuli mbalimbali kushiriki katika michezo ili kuwezesha kupata timu nzuri na kushiriki katika mashindano ya Kimataifa. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari Utamaduni Wasanii na Michezo Tanzania Leonaed Thadeo katika Uwanja wa Amani nje wakati alipokua akifunga Shamrashamra za Tamasha siku ya Walimu Duniani. Amesema nchini Tanzania wananchi...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-U2dS3Pp4Kao/VUhJmJFHAfI/AAAAAAAHVXk/SpDsLDY2_9s/s72-c/unnamed%2B(38).jpg)
10 years ago
Mwananchi16 Feb
Neymar Jr na mitindo 30 tofauti ya nywele
Mashabiki wengi wa soka wanamfahamu Neymar Jr kuwa ni mwanasoka nyota wa Brazil na klabu yake, Barcelona ya Hispania.
11 years ago
BBCSwahili25 Mar
Vijana wa Kisomali na mitindo yao
Vijana wa Kisomali mjini Nairobi wamejitosa katika fasheni na sasa wanalenga kuwa waigizaji
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
Mitindo yashindana ukumbini na mitandaoni
Wanablogu wa mitindo watumia video kuonyesha mitindo yao, je darubini imehama kutoka kumbi za maonyesho hadi mitandao ya kijamii?
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
Idarous awika na mitindo Nigeria
MBUNIFU mkongwe wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin, mwishoni mwa wiki aliitangaza vema Tanzania katika onesho la mavazi ya ubunifu lililokuwa maalumu kwa ajili ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya...
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Mitindo tofauti ya kubana nywele
Urembo wa nywele, ni ule ambao unazingatiwa watu wa jinsi zote, lakini zaidi ni kwa wanawake. Jinsi hii, kwa kiasi kikubwa, wamekuwa wakitumia muda mwingi kutunza nywele.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania