Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MJUE KWA UNDANI JAJI ANAYETOA HUKUMU YA OSCAR ISTORIUS

JAJI Thokozile Matilda Masipa mwenye umri wa miaka 66, alizaliwa Oktoba 15, 1947 Soweto nchini Afrika Kusini na wakati mmoja aliajiriwa kama karani na mpishi wa chai. Jaji Thokozile Matilda Masipa akisoma hukumu ya Pistorius. Kuna kipindi nusura aachane na masomo yake kwa kuwa alidhani hatafanikiwa kwa vyovyote vile licha ya masomo aliyokuwa anachukua. Lakini mama yake aliendelea kumpa motisha ya kuendelea na masomo yake....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mjue kwa undani Maya Dela Rosa nyota wa uigizaji

Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu, leo hatutakuwa na masimulizi ya Tamthiliya ya Be Careful With My Heart. Badala yake tutangalia wasifu wa mhusika mkuu katika tamthiliya hiyo, Jodi Santamaria ambaye anafahamika kama Maya dela Rosa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mjue kwa undani Zahara M. Michuzi Ubunge viti maalum Tabora

Na Jeff Msangi  wa TBN Ughaibuni

Nyota njema huonekana asubuhi. Bila shaka umewahi kusikia msemo huu. Kwa Zahara Muhidini Issa Michuzi, nyota yake njema ni tunu ya uongozi. Tangu alipoweza kutambua maana na tofauti ya jambo jema na baya, amekuwa kiongozi.

Muhtasari wa maisha yake unaonyesha alizaliwa mnano tarehe 2 Septemba mwaka 1987 Nzega mkoani Tabora. Amesomea katika shule zifuatazo;

*Shule Ya Msingi Rufita, Tabora- 1995-2001

*Shule Ya Sekondari Kazima, Tabora-2002-2005

*Shule Ya...

 

10 years ago

GPL

MJUE KWA UNDANI MGOMBEA URAIS WA CCM, MHE. JOHN POMBE MAGUFULI

- Alizaliwa Oktoba 29, 1959 wilayani Chato, wakati huo ikiwa ni sehemu ya mkoa wa Kagera (sasa mkoa wa Geita).
- Mwaka 2006 – 2009, Shahada ya Uzamivu ya Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
- Mwaka 1991 – 1994, Shahada ya Uzamili ya Kemia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadaye Chuo Kikuu  cha Salford, Uingereza. - Mwaka 1985 – 1988, alisoma Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Chuo Kikuu...

 

11 years ago

GPL

HUKUMU YA OSCAR PISTORIUS YAANZA

Oscar Pistorius akiwasili mahakamani jijini Pretoria. KESI inayomkabili mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius (27) ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp inatolewa hukumu leo jijini Pretoria na Jaji Thokosile Masipa. Matundu manne ya risasi zilizopigwa na Pistorius, ambapo tatu kati yake zilimpiga Reeva - mkononi, kichwani na kwenye paja. Tayari hukumu hiyo imeanza kusomwa na Jaji Thokosile Masipa  ikiwa ni baada...

 

11 years ago

GPL

HUKUMU YA OSCAR PISTORIUS YAENDELEA

Oscar Pistorius akiwa amesimama ndani ya mahakama jijini Pretoria baada ya Jaji Thokosile Masipa kuwasili kwa ajili ya kusoma hukumu. Oscar Pistorius  akisikiliza hukumu yake.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Oscar Pistorius asubiri hukumu

Jaji Thokozile Masipa hii leo atatoa hukumu dhidi ya kesi ya mauaji inayomkabili mwanariadha Oscar Pistorius huko Afrika Kusini.

 

10 years ago

GPL

MJUE JAJI DAMIAN ZEFRIN LUBUVA

Na Brighton Masalu CHETI chake cha kuzaliwa, kimeandikwa Damian Zefrin Lubuva. Huyu ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambaye alizaliwa Septemba 21, 1940 katika Kijiji cha Haubi Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma. ELIMU Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Kuta kuanzia mwaka 1949 hadi 1952 na katika Shule ya Kati ya St. Gabriel Catholic Kondoa kuanzia mwaka 1953 hadi 1956. Baadaye alikwenda Shule ya Sekondari ya St....

 

11 years ago

BBCSwahili

Jaji ampata na hatia Oscar Pistorius

Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, amepatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp pasi na kukusudia.

 

10 years ago

GPL

JAJI AKUBALI RUFAA DHIDI YA OSCAR PISTORIUS

Mwanariadha Oscar Pistorius. MAHAKAMA nchini Afrika Kusini imemruhusu kiongozi wa mashitaka, Gerrie Nel kukata rufaa dhidi ya hukumu ya Oscar Pistorius baada ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Kiongozi wa Mashitaka, Gerrie Nel. Kesi hiyo, sasa itaanza kusikiliza katika mahakama ya juu zaidi upande wa mashitaka ukitaka Pistorius ahukumiwe kwa kumuua mpenzi wake kwa makusudi.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani