Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkapa kuzindua mfuko wa dhamana wa UDOM

RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa leo anatarajiwa kuzindua Mfuko wa Dhamana na Bodi ya wadhamini ya mfuko huo wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mkapa amsifu Kikwete kwa UDOM

RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa amepongeza jitihada za Rais wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete kwa kutekeleza kwa vitendo dhana iliyokuwepo ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Faida, changamoto za Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji

UWEKEZAJI ni dhana pana ambayo kila mtu anaweza kuitazama kulingana na shughuli anazozifanya. Mfano mzuri ni mzazi anapompeleka mtoto shule ni uwekezaji kwenye sekta ya elimu. Ili uwekezaji uweze kufanyika...

 

11 years ago

Michuzi

MFUKO WA DHAMANA YA UWEKEZAJI TANZANIA (UTT) WAVUTIA WENGI KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Watu waliofika katika banda la Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), wakimsikiliza Ofisa Masoko na Uhusiano wa Mfuko huo, Rahim Mwanga wakati wa Maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma.

Ofisa Mafuzo wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), Hilder Lyimo akitoa maelezo kwa baadhi ya watu waliohudhuria Monesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo. Elimu kuhusu mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji ilitolewa kwa watu waliofika katika banda...

 

10 years ago

GPL

MFUKO WA GEPF WAPANUA WIGO KWA KUZINDUA OFISIMPYA NYANDA ZA JUU KUSINI MKOANI MBEYA

Meneja wa kanda ya Nyanda za juu kusini Bw. Ramadhan Sosora akitoa neno la ufunguzi na utambulisho kwa wanahabari. Meneja Masoko kutoka Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF Bw. Aloyce Ntukamazina akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi huo kulia kwake ni Afisa masoko katika ofisi ya mbeya Bw. Alex William.…

 

10 years ago

Vijimambo

MFUKO WA GEPF WAPANUA WIGO KWA KUZINDUA OFISI MPYA NYANDA ZA JUU KUSINI MKOANI MBEYA

 Meneja wa kanda ya Nyanda za juu kusini Bw Ramadhan Sosora akitoa neno la ufunguzi na utambulisho kwa wanahabari. Meneja Masoko kutoka Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi huo kulia kwake ni Afisa masoko katika ofisi ya mbeya Bw Alex William. Pichani baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakifuatilia kwa makini maelezo wakati wa uzinduzi huo. Bw Aloyce Ntukamazina akielezea mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha...

 

10 years ago

Michuzi

Zaidi ya wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI - Airtel yazinduzi mnara wa pili UDOM

 Afisa masoko wa Airtel tanzania Prospa Mwanda akionyesha kwa wanafunzi wa chuo Kikuu dodoma (UDOM) jinsi huduma mpya ya Airtel Wi-Fi Intaneti  inavyofanya kazi mara baada ya uzinduzi wa huduma hiyo chuoni hapo jana. Airtel Tanzania chuoni hupo imezindua huduma ya UNI Wi-Fi Intaneti yenye ubora zaidi na itakayopatikana kwa wananfunzi kwa gharama nafuu
 Meneja masoko wa Airtel Uni Wi-Fi Bi Aneth Muga anaepiga picha ya selfie ili waitume kwa kutumia huduma ya Airtel Wi-Fi intaneti kwa baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA MZEE MKAPA NA MAMA ANNA MKAPA JIJINI MWANZA

PG4A2748Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza  ambako atakuwa  mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika  jijini Mwanza.
PG4A2753Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akizungumza na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza  ambako  atakuwa   mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika  jijini Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa GEPF wafanya mkutano na wadau Arusha wajadili maswala mbalimbali ya mfuko huo

unnamed

MKUU  wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda akiwa anafungua mkutano ulioandaliwa na mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF kwa wadau wake jijini Arusha uliolenga kujadili maswala mbalimbali ya mfuko wa mafao ya kustaafu (GEPF) sambamba na mabadiliko katika mfuko huo.(Habari Picha na Pamela Mollel wa http://jamiiblog.co.tz/)

unnamed (1)

Meneja masoko wa mfuko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina akizungumza katika mkutano na wadau kutoka sekta mbalimbali uliofanyika jijini Arusha uliolenga kujadili maswala mbalimbali...

 

9 years ago

GPL

MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, TPB KWA KUSHIRIKIANA NA PROPERTY INTERNATIONAL WAZINDUA MFUKO MPYA

 WAZIRI wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, (anayeshughulikia masuala ya Muungano), Samia sSuluhu Hassan,(wapili kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Sabasaba Moshingi, (wakwanza kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Property International Ltd, (PIL), Abdulkarim Haleem, (watatu kulia), na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji, Gabriel Silayo, (wane...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani