Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkasi na Adam Juma

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Adam Juma hashindani kikazi

MTAYARISHAJI mahiri wa video za muziki wa Bongo Fleva nchini, Adam Juma, amesema sio kila kitu kinahitaji ushindani, na kwamba yeye anaipenda kazi yake hawezi kushindana na mtu mwingine. Adam...

 

9 years ago

Bongo5

Adam Juma awaunga mkono wasanii wanaoenda kushuti video nje ya nchi

Adam Jumaa

Muongozaji wa video za muziki nchini, Adam Juma wa Visual lab amesema sio jambo baya kwa wasanii wa Tanzania kwenda kufanya video zao nje ya nchi endapo kuna faida yoyote ya ziada wanaipata.

Adam Jumaa

Adam ambaye amekuwepo kwenye industry ya video kwa muda mrefu, ameongeza kuwa kikubwa anachoamini kinawapeleka nje wasanii kufanya video ni kutafuta connection na mawazo mapya na hilo sio jambo baya.

“I think ubora hatuko tofauti sana lakini pia labda ni mawazo mapya, siwezi kusema sio kwamba ubora uko...

 

10 years ago

Bongo5

Christiana Bella: Kama sio Godfather, ntaenda na Adam Juma kushoot video South

Christian Bella ana option mbili ya kushoot video ya wimbo wake ujao ‘Nashindwa’ nchini Afrika Kusini – kumtumia Godfather au kusafiri na Adam Juma. Bella ameiambia Bongo5 kuwa kampuni aliyoipa kazi hiyo ikishindwa kufanya kazi kwa wakati itambidi aAchane nao na kumpa Adam Juma kutokana na uhitaji wa kazi hiyo kwa haraka. “Ngoma pamoja na […]

 

11 years ago

Bongo5

Next level ya Adam Juma kusaka vipaji vya waigizaji na models Jumamosi hii (October 4)

Kampuni ya Next Level inayomilikiwa na muongozaji wa video wa Tanzania, Adam Juma imeamua kutafuta vipaji vipya vilivyoko mitaani, kwa kuandaa shindano la kusaka vipaji litakalofanyika Jumamosi hii October 4 pale Mzalendo Pub. Vipaji vinavyotafutwa ni pamoja na models, waigizaji pamoja na watangazaji wa TV.

 

9 years ago

Bongo5

Adam Juma atoa ushauri wa bure kwa ma-director: Ubunifu ndio utakaotuokoa katika ukame huu

Adam Jumaa

Muongozaji wa video za muziki nchini, Adam Juma ametumia akaunti yake Instagram kutoa ushauri wa bure kwa waongozaji wenzake.

Adam Jumaa

Hiki ndicho ameandika Adam:

“Kwa madirector wadogo na wakubwa, hakuna mafanikio yanakuja kirahisi rahisi, hakuna media itakayokuokoa katika ukame wa kazi utakapo wasili. Sifa hujenga kiburi akili hujenga ustaarabu, mafanikio yako yapo mkononi mwako- hata wakishot mbinguni isiwe sababu ya ww kuacha na kutoipenda kazi yako. Simama kwenye mstari na ujiamini, usishindane...

 

11 years ago

Bongo5

Adam Juma ampongeza Izzo Bizness kwa kutaja gharama halisi aliyotumia kwenye video ya ‘Walala hoi’, M 1.4

Director Adam Juma wa kampuni ya Visual lab/Next Level, amempongeza rapper wa Mbeya Izzo Bizness na director wake Nick Dizzo kwa kutaja gharama halisi waliyotumia kushoot video ya ‘Walala hoi’ ambayo Izzo amesema ni shilingi milioni 1 na laki 4 tu. “Video ni milioni 1 na laki 4 na Nick hapo tumemlipa kila kitu” Izzo […]

 

11 years ago

Bongo5

Adam Juma: Vifaa tutanunua Inshallah, ila nasisi tutaanza kutangaza bei mnazotulipa. Ni baada ya kauli aliyoitoa Ommy Dimpoz

Kauli ya Ommy Dimpoz aliyoitoa siku mbili zilizopita akishauri wadau wajitokeze na kuwekeza zaidi katika kununua vifaa vya kisasa ili wasanii wasipate sababu ya kwenda kushoot video zao nje, imewafanya madirector nao kutoa yao ya moyoni. Kauli ya Ommy Dimpoz imetokana na maswali ambayo watu wengi wamekua wakihoji kwanini wasanii wengi sasa hivi wanaamua kwenda […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani