Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mke wa Gbagbo miaka 20 gerezani

Mahakama nchini Ivory Coast imemhukumu aliyekuwa mke wa Rais wa nchi hiyo Laurent Gbagbo, kifungo cha miaka 20 gerezani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MKE WA GBAGBO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 20 JELA

Simone Gbagbo aliyekuwa mke wa Rais wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo. MAHAKAMA moja nchini Ivory Coast leo imemhukumu Simone Gbagbo aliyekuwa mke wa Rais wa nchi hiyo Laurent Gbagbo, kifungo cha miaka 20 gerezani. Laurent Gbagbo akiwa na mkewe Simone Gbagbo baada ya kukamatwa Aprili 11, 2011. Simone amehukumiwa kifungo hicho baada ya kukutwa na hatia ya kushiriki katika vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi nchini humo… ...

 

9 years ago

MillardAyo

Shule za DC Makonda? Prof. Lipumba na Rais Magufuli? Padri kuzaa na mke wa mtu? Madini gerezani? #StoriKUBWA

Kwenye stori kubwa December 31 2015 ziko na hizi zilizoguswa na uchambuzi wa redioni kama ulipitwa. Mgonjwa aliyelipiwa gharama za matibabu na Rais Magufuli hospitali ya Muhimbili agoma kutoka baada ya kuruhusiwa, gereza la Songwe liko kwenye mchakato wa kuvunjwa baada ya kugundulika kuwepo madini chini yake. Mtu mmoja ajinyonga Kenya huku akiacha ujumbe kuwa […]

The post Shule za DC Makonda? Prof. Lipumba na Rais Magufuli? Padri kuzaa na mke wa mtu? Madini gerezani? #StoriKUBWA appeared...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miaka 27 Mandela gerezani na tafakuri

NAANDIKA makala hii kumjibu msomaji wangu kutoka Shinyanga, aliyenipigia simu na kuniomba: “Nakuomba uandike makala ya uchambuzi juu ya maisha ya Mandela na ya Mwalimu Nyerere. Tuchambulie tujue, ni nani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mosri ahukumiwa miaka 20 gerezani

Makahama nchini Mirsi imemhukumu aliyekuwa rais wa nchi hiyo Mohammed Mosri kifungo cha miaka 20 gerezani

 

10 years ago

BBCSwahili

Morsi ahukumiwa miaka 20 gerezani

Habari za hivi punde zinasema kuwa aliyekuwa rais wa Misri Mohammed Mosri amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani

 

11 years ago

GPL

BABU SEYA, PAPII MIAKA 10 GEREZANI

Stori: WAANDISHI WETU MASKINI! Wakati wakitimiza miaka 10 gerezani tangu walipohukumiwa Juni 25, 2004, mwanamuziki nguli wa dansi Bongo, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ wametoa watu machozi kwa mara nyingine. Kwa pamoja wanamuziki nguli wa dansi Bongo, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ wakitumbuiza. Wakitumbuiza...

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Oscar Pistorius ahukumiwa kifungo cha miaka 5 gerezani kwa kumuua bila kukusudia girlfiend wake

Oscar Pistorius akiwasili katika mahakama ya Pretoria nchini Afrika kusini kusikiliza hukumu yake leo.
Mwanariadha huyo asiye na miguu aliyeshangaza ulimwengu katika michuano ya Olympic mwaka 2012, amehukumiwa kifungo cha miaka 5 gerezani na Jaji wa Afrika ya Kusini asubuhi hii, katika hatua inayofikisha tamati mlolomngo wa muda mrefu wa kesi hiyo iliyokuwa ikifuatiliwa kwa karibu ulimwenguni kote
Pistorius alipatikana na hatia ya kuua bila kukusudia mnamo Septemba 12, mwaka huu, kwa kumtoa...

 

5 years ago

Michuzi

AHUKUMIWA KIFUNGO MIAKA 30 GEREZANI KWA KOSA LA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROINE ZENYE UZITO WA GRAMU 306.6

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu uchumi, imemuhukumu  Islem Shebe Islem  (50) raia wa Tanzania mwenye asili ya kiarabu, kutumikia kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kupatikana na hatia katika kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine zenye uzito wa gramu 306.32.

Hukumu hiyo imesomwa leo Mei 8 2020 mbele Jaji Elinaza Luvanda baada upande wa mashtaka kupitia mashahidi wake saba na vielelezo mbali mbali zikiwemo dawa hizo kuweza...

 

10 years ago

Habarileo

Mke akiri kumsaliti mumewe miaka 7

SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya kulawiti na kutuma picha katika mitandao ya kijamii inayowakabili wakazi wawili wa Mbagala, Dar es Salaam, alidai kwamba alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mlalamikaji kwa miaka saba huku akiwa na mume wake ambaye ni mshitakiwa namba moja katika kesi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani