MKE WA TYSON ATAKA MALI ZAKE!
![](http://api.ning.com:80/files/EwLJgW6X-wWpvWp*XdPNcsmrjBSazBWltFuts*Gtd9xpo*oVo5oRo-U65r96Glct54hMZ0IBXzWruWIpnQ*zgnPT80TPcqGd/tyson.jpg?width=650)
Stori: ShanI Ramadhani na Mayasa Mariwata Wakati hata siku arobaini hazijatimia, mke wa marehemu George Otieno ‘Tyson’, Beatrice Shayo juzi alicharukia mali zake baada ya kuamua kutinga nyumbani kwa marehemu, Mbezi Makonde jijini Dar kwa lengo la kuchukua kila kinachomhusu. Mke wa marehemu George Otieno ‘Tyson’, Beatrice Shayo. Mdada huyo aliyefunga ndoa na Tyson Agosti 9, 2012 nchini Kenya na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMKE WA TYSON ASHINDA MIRATHI
10 years ago
Bongo Movies27 Dec
Mke wa George Tyson ashinda mirathi.
Mke wa muandaaji mahiri wa filamu George Tyson, Beatrice Shayo amefanikiwa kushinda kesi na kuwa msimamizi wa mirathi baada ya mtafaruku mkubwa uliotokea wa kugombea mali na mwanadada aliyekuwa akiishi na msanii huyo kipindi cha mwisho cha uhai wake, Lucy Sepetu.
Akizungumzia ishu hiyo Beatrice alisema anashukuru Mungu amempigania maana ndugu wengi wa mume hawakuwa upande wake, wengi wao walimuunga mkono Lucy lakini Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imempitisha kuwa msimamizi wa...
11 years ago
BBCSwahili05 Aug
Mke wa zamani wa Mandela adai mali yake
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-0NN-LABgVJs/VRnBF4iXhdI/AAAAAAAHOdw/n35tfWtQooc/s72-c/Divorce-in-Islam.jpg)
JE WAJUA MGAWANYO WA MALI NDOA YA MKE ZAIDI YA MMOJA INAPOVUNJIKA?.
![](http://4.bp.blogspot.com/-0NN-LABgVJs/VRnBF4iXhdI/AAAAAAAHOdw/n35tfWtQooc/s1600/Divorce-in-Islam.jpg)
Kipindi cha nyuma wakati nikieleza masuala ya sheria za ndoa niliwahi kueleza utaratibu wa mgawanyo wa mali iwapo ndoa inavunjika. Kimsingi nilieleza mgawanyo wa mali katika msingi wa uwepo wa ndoa ya mke mmoja. Sikuwahi kueleza mgawanyo wa mali iwapo ndoa ni ya mke zaidi ya mmoja. Wengi waliuliza swali hili ambapo baadhi niliwajibu na baadhi sikuwajibu. Leo sasa nitaeleza mgawanyo wa mali ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*9fn6zx1i0IlYyJFydxYtE0jB3q6lIKNMrYjOswlew7Hk1s6YXgNbIhSvf817rXG0KAEe5thqkQ95kmtCtpxyk4lFFOxS-wZ/7copy.jpg?width=650)
UKIJIFOSI KUMPENDA KISA MALI, PESA ZAKE, IMEKULA KWAKO!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvQTVBtd3q2baPgQe6wtQcG3o*arKxj9RI-okYhQYSTrIAzAtrVtwLMAnpyx43EH0pmV9kKb9EU8QeHDJSNtB6Fq/9713_01_0270.jpg?width=650)
JUSTIN BIEBER SASA ATAKA MKE WA KUOA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jghSAoaiV1c/XuIQRabHtSI/AAAAAAAEHtc/kwnAXqNNHMAfQ6EZ2ungU1nHhta824akACLcBGAsYHQ/s72-c/KAMA.jpg)
Aua wakwe zake (mme na mke) kwa tuhuma za ushirikina
Aua wakwe zake (mme na mke) kwa tuhuma za ushirikina
Na Amiri kilagalila,Njombe
Kijana aliyejulikana kwa jina la Patrick Ngailo mkazi wa Mlangali wilayani Ludewa mkoani Njombe,anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya wakwe zake (mme na mke) akiwatuhumu ni washirikina wanaomsababishia maradhi ya mara kwa mara.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema kijana huyo alitenda kosa hilo katika kijijji hicho June 8,2020 majira ya saa moja jioni lakini wananchi kwa...
9 years ago
Bongo515 Oct
Mabeste kumtumia mke wake kwenye video zake zote zinazokuja
9 years ago
BBCSwahili10 Oct
Bieber ataka picha zake za uchi kuondolewa mtandaoni