Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


M/kiti CCM Dar kizimbani kwa ARV bandia

Ramadhani MadabidaOFISA Mtendaji Mkuu wa kiwanda cha Tanzania Pharmacentical Ltd ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida, amepandishwa kizimbani kwa mashitaka ya kusambaza dawa bandia za Kupunguza Makali ya Ukimwi (ARV).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti wa CCM Dar kizimbani kwa tuhuma za kusambaza ARV feki

Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Ltd cha Dar es Salaam (TPI), Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matano likiwamo la kusambaza dawa bandia na kusababisha hasara ya Sh148.3 milioni.

 

9 years ago

GPL

KIZIMBANI KWA KUTENGENEZA TOVUTI BANDIA

Washitakiwa  Patrick Natala na Maxmillian Msacky (katikati) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar  kutengeneza tovuti bandia. WATU wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakituhumiwa kughushi, kutengeneza tovuti bandia na mifumo ya mtandao kwa kutumia majina ya baadhi ya viongozi wa Serikali, likiwemo la Rais Jakaya Kikwete na taasisi kubwa hapa nchini....

 

10 years ago

Mtanzania

Noti bandia zawafikisha askari kizimbani

Na Samwel Mwanga, Simiyu
ASKARI wawili wa Jeshi la Polisi na Magereza waliokamatwa na noti bandia na sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu, wakikabiliwa na makosa mawili.
Washtakiwa hao ambao ni wenye namba H 2420 PC Seleman Juma (25) aliyekuwa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na B. 6499 Wdr Edmund Masaga (28) wa Gereza la Wilaya ya Bariadi, walifikishwa mahakamani hapo juzi mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama...

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 17 Dar kizimbani kwa ugaidi

Watu 17 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwamo za kujihusisha na matukio ya ugaidi nchini na katika nchi jirani ya Kenya.

 

11 years ago

IPPmedia

CCM must own up its wrongs if Salim was put to 'kiti moto'


IPPmedia
CCM must own up its wrongs if Salim was put to 'kiti moto'
IPPmedia
We read in one of the newspapers on Thursday that the Central Committee of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM), at its meeting held in Zanzibar end of last week questioned former prime minister Salim Ahmed Salim over his failure to defend the party's ...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtikisiko mwingine CCM, M/kiti Arusha atimka

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimezidi kupata mtikisiko baada ya viongozi wa ngazi ya mkoa na makundi mbalimbali ya wanachama kukihama na kujiunga na upinzani.

 

9 years ago

StarTV

M/kiti wa CCM Majohe ajiuzulu baada ya tuhuma za rushwa

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kata ya Majohe, Gekura Gisiri, amejiuzulu baada ya mgombea wa udiwani kwenye kata hiyo, Hassan Kingalu aliyekuwa akilalamikiwa kutoa rushwa wakati wa mchakato wa kura za maoni kutangazwa mshindi atakayegombea udiwani wa kata hiyo.

Pamoja na hatua hiyo ya kujiuzulu, wananchi wa eneo hilo nao wameonyesha kutokukubaliana na kupitishwa kwa mgombea huyo, kwa kudai kuwa hana sifa za kuwa kiongozi wao.

Mwenyekiti huyo wa CCM kata ya Majohe, Gekura Gisiri...

 

10 years ago

BBCSwahili

Awashitaki madaktari kwa kumpa ARV'S kimakosa

Mwanaume mmoja nchini Kenya amewashtaki madaktari watano kwa kumpima HIV halikadhalika kumpa dawa za ARV wala hakuwa na HIV.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani