Mtikisiko mwingine CCM, M/kiti Arusha atimka
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimezidi kupata mtikisiko baada ya viongozi wa ngazi ya mkoa na makundi mbalimbali ya wanachama kukihama na kujiunga na upinzani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania10 Aug
Mtikisiko CCM Manyara
WALIOKUWA wagombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Babati Mjini wamezidi “kumkaba koo” mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo na Mbunge anayemaliza muda wake Kiseyri Chambiri wakipinga matokeo ya uchaguzi huo.
Wagombea hao wapatao saba wameandika barua ya malalamiko kwenda Mkurugenzi wa Uchaguzi Mkoa wa Manyara wakipinga matokeo ya uchaguzi kwa madai ya ukiukwaji wa kanuni,taratibu,sheria na kutamalaki kwa vitendo vya rushwa katika mchakato...
10 years ago
Mtanzania16 Dec
Ni mtikisiko * Ukawa watesa miji mikubwa, ngome za CCM * Lowassa atamba
Na Waandishi Wetu, Dar na mikoani,
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetikiswa na vyama vinavyounda Umoja ya Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwenye matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji.
Katika uchaguzi huo uliofanyika nchini juzi, matokeo yanaonyesha kupanda kwa vyama vya upinzani hasa kwa kushinda maeneo yaliyokuwa yakiongozwa na CCM hali iliyokitikisa vilivyo chama hicho tawala.
Kutangazwa huko kwa matokeo hayo kunakuja baada ya kukamilika kwa uchaguzi huo katika baadhi ya...
10 years ago
Michuzi14 Feb
NOEL OLE VAROYA CHADEMA ATANGAZA KUWANIA KITI CHA UBUNGE ARUSHA
![NOEL PIC](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/kOIaTcTXHCQvodLse7ho7yK0sIw78Ql1vBG0v72U2c1aPooK8MblVpY2QJCWnjeDcPAZCYreLuVh6v7O4fQRtbDgfZ3XZOxqYkFx1ABbzOVKZUuS-h21qcg=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/02/noel-pic.jpg?w=660)
Katika picha ni Noel Olevaroya akihutubia Maelfu ya wananchi katika moja ya harakati zake katika mkutano wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa vijana na mjumbe Wilaya ya Arusha kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Noel Olevaroya (37) ametangaza rasmi kupeperusha bendera ya chama hicho kwa kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo la Arusha mjini
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha Noel Olevaroya alisema kuwa nia yake ya...
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Sheikh mwingine amwagiwa tindikali Arusha
MWALIMU wa dini Msikiti Mkuu wa Bondeni, Mustapha Kihago (49) na mwanae Khalid Mustafa (10), wamemwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali sehemu za usoni na shingoni. Sheikh huyo ambaye ni wa...
11 years ago
IPPmedia18 Jan
CCM must own up its wrongs if Salim was put to 'kiti moto'
IPPmedia
IPPmedia
We read in one of the newspapers on Thursday that the Central Committee of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM), at its meeting held in Zanzibar end of last week questioned former prime minister Salim Ahmed Salim over his failure to defend the party's ...
11 years ago
Habarileo11 Feb
M/kiti CCM Dar kizimbani kwa ARV bandia
OFISA Mtendaji Mkuu wa kiwanda cha Tanzania Pharmacentical Ltd ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida, amepandishwa kizimbani kwa mashitaka ya kusambaza dawa bandia za Kupunguza Makali ya Ukimwi (ARV).
9 years ago
StarTV20 Aug
M/kiti wa CCM Majohe ajiuzulu baada ya tuhuma za rushwa
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kata ya Majohe, Gekura Gisiri, amejiuzulu baada ya mgombea wa udiwani kwenye kata hiyo, Hassan Kingalu aliyekuwa akilalamikiwa kutoa rushwa wakati wa mchakato wa kura za maoni kutangazwa mshindi atakayegombea udiwani wa kata hiyo.
Pamoja na hatua hiyo ya kujiuzulu, wananchi wa eneo hilo nao wameonyesha kutokukubaliana na kupitishwa kwa mgombea huyo, kwa kudai kuwa hana sifa za kuwa kiongozi wao.
Mwenyekiti huyo wa CCM kata ya Majohe, Gekura Gisiri...
10 years ago
Mwananchi25 Feb
Makada CCM waanza kukitolea macho ‘kiti’ cha Ndesamburo
10 years ago
Dewji Blog12 Jul
Magufuli kupeperusha bendera ya CCM kiti cha Urais Oktoba 2015
1. Mh. John Magufuli amepata kura 2104 sawa na Asilimia 87.1%
2. Balozi Amina Salim 253 sawa na Asilimia 10.5..
3. Mh. Asha-Rose Migiro kura 59 sawa na 2.4%
Kura zilizopigwa 2422,
Kura zilizoharibika 6,
Kura halali 2416,
Kwa mujibu wa Mh.Makinda
Hatimae Mh Dr. John Pombe Magufuli apendekezwa kupeperusha Bendera ya CCM nafasi ya urais kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu katika kikao cha Mkutano mkuu wa chama hicho mjini Dodoma
Jiandikishe ili uweze kupiga...