Mwenyekiti wa CCM Dar kizimbani kwa tuhuma za kusambaza ARV feki
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Ltd cha Dar es Salaam (TPI), Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matano likiwamo la kusambaza dawa bandia na kusababisha hasara ya Sh148.3 milioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yKtdb-SwMoU/XsUtyWTIYnI/AAAAAAALq-s/rILfKYLdStURdymjxpfo_Ja6oZbL69KzQCLcBGAsYHQ/s72-c/images.jpg)
MWENYEKITI BAVICHA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUSAMBAZA NYARAKA, VIDEO ZA NGONO
![](https://1.bp.blogspot.com/-yKtdb-SwMoU/XsUtyWTIYnI/AAAAAAALq-s/rILfKYLdStURdymjxpfo_Ja6oZbL69KzQCLcBGAsYHQ/s640/images.jpg)
Mchome ambaye ni Mkazi wa Kisaranga wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro na pia ni Katibu wa Chadema wilayani humo, amefikishwa mahakamani hapo leo Mei 20,2020 na kusomewa kesi hiyo namba 77/2020 mbele ya...
11 years ago
Habarileo11 Feb
M/kiti CCM Dar kizimbani kwa ARV bandia
OFISA Mtendaji Mkuu wa kiwanda cha Tanzania Pharmacentical Ltd ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida, amepandishwa kizimbani kwa mashitaka ya kusambaza dawa bandia za Kupunguza Makali ya Ukimwi (ARV).
10 years ago
CloudsFM07 Oct
WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KULAWITI NA KUSAMBAZA PICHA MTANDAONI
WASHITAKIWA wanaokabiliwa na mashitaka ya kulawiti na kutuma picha katika mitandao ya kijamii, wamepandishwa kizimbani kusomewa maelezo ya awali ambapo walidaiwa kumlawiti mwanaume mwenzao na kumpiga picha kwa madai ya kutaka kulipwa Sh milioni moja.
Washitakiwa hao ni Erick Kasira (39) na Juma Richard (31) ambao wanadaiwa kulawiti sanjari na kupiga picha za tukio hilo.
Wakili wa Serikali Mutalemwa Kishenyi alidai mbele ya Hakimu Mfawidhi Said Mkasiwa kwamba Agosti 23 mwaka huu, maeneo ya...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Madabida kizimbani kwa ARVs ‘feki’
MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, amemfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bNZ5imqQQLI/Xl5FrgZ_RYI/AAAAAAAAkUA/CFGBrsP3aqAE9s0pZljFpxgIoRHuQvtHQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_0091.jpg)
MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA ADAKWA MKOANI SINGIDA KWA TUHUMA ZA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UWONGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-bNZ5imqQQLI/Xl5FrgZ_RYI/AAAAAAAAkUA/CFGBrsP3aqAE9s0pZljFpxgIoRHuQvtHQCLcBGAsYHQ/s640/IMG_0091.jpg)
Na Ismail Luhamba, SingidaJESHI la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini Godbless Lema kwa tuhuma za kusamabaza taarifa za uongo kuwa watu 14 Wilayani Manyoni walifariki kwa kuchinjwa katika matukio mbalimbali.Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ASP) Sweetbert Njewike (pichani kulia) alisema wamemkamata Mbunge...
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Watu 12 kizimbani kwa tuhuma za mauaji ya Kiteto
10 years ago
Habarileo31 Aug
Askari wa JWTZ kizimbani kwa tuhuma za mauaji
ASKARI wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kwa tuhuma ya kumpiga hadi kumuua Chacha Juma, mkazi wa Nzega Mjini.
11 years ago
Michuzi10 Feb
news alert: watano wapanda kizimbani kwa mashtaka ya usambazaji wa Dawa feki za kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi
9 years ago
Mwananchi04 Dec
Wafanyakazi Tanesco, Wachina kizimbani kwa tuhuma za ufisadi